Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Hakuna msimu Yanga imeacha kusajili, means huwa inalipa inapojisikia.Ukidaiwa kwa kiwango cha kushtakiwa kila wakati ni either umefilisika au umekuwa tapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna msimu Yanga imeacha kusajili, means huwa inalipa inapojisikia.Ukidaiwa kwa kiwango cha kushtakiwa kila wakati ni either umefilisika au umekuwa tapeli.
HUenda ni account yake.Umeona chini ya ya maandishi ya barua pameandikwa Micky Jnr. Hii maana yake nini?
Au ina mengi ya kupoteza isipolipa otherwise ingetapeli.Hakuna msimu Yanga imeacha kusajili, means huwa inalipa inapojisikia.
Si kweli. Kwenye hili Yanga wako very smart kulishughulikia hata kama wanachelewa kulipa.Ukidaiwa kwa kiwango cha kushtakiwa kila wakati ni either umefilisika au umekuwa tapeli.
Sio inavyojisikia ni kwa mujibu wa sheria za FIFAHakuna msimu Yanga imeacha kusajili, means huwa inalipa inapojisikia.
Watu smart hawashtakiwi mara kwa mara. Wanafahamu ukomo wa kuchelewesha malipo.Si kweli. Kwenye hili Yanga wako very smart kulishughulikia hata kama wanachelewa kulipa.
Hii ni sawa endapo kama unalipa hayo madeni Tena kwa wakati, lakini kama kulipa mpaka mvutane mashati au mfikishane kwenye vyombo vya Sheria wewe ni mpuuzi tu mmoja na mshamba mkubwa.Kama wewe ni mwaaume na hudaiwi basi jua huna akili.
Daima Mbele, Nyuma MwikoKwahyo sisi tukusaidiaje?
Wewe unafikiri Yanga hawajui ukomo wa madai wewe ndio unajua sana? Au kwamba wewe ni mwerevu kuliko management ya Yanga na kitengo cha fedha?Watu smart hawashtakiwi mara kwa mara. Wanafahamu ukomo wa kuchelewesha malipo.
Taasisi kubwa kuwa na maden ni kitu cha kawaida sana yanView attachment 3170116
Usiku wa kuamkia leo nimepokea barua kutoka FIFA ikitamka kuifungia klabu ya Yanga kwa kushindwa kulipa madeni ya Usajili
Hao viongozi Wasikosee kwa sababu gani? Huwa hawashindwi kesi na kulipa mafidia yasiyo na lazima? Hizi Club zishakuwa kama dini sasa, ni kusifu na kuabudu.Wewe unafikiri Yanga hawajui ukomo wa madai wewe ndio unajua sana? Au kwamba wewe ni mwerevu kuliko management ya Yanga na kitengo cha fedha?
Labda nikupe wazo dogo tu. Kwenye uongozi wa taasisi yoyote lazima ujue uimara na udhaifu wa sheria na kanuni zinazowaongoza. Hii itakusaidia kwenye maamuzi wakati gani ulipe ama usilipe.
Mfano kwenye kesi nyingi timu inafungiwa kusajili mpaka madai ya wachezaji walipwe. Na unakuta mwezi inapotoka statement hiyo ni September dirisha la usajili liko January. Kwa nini ukimbilie kulipa wakati hizo pesa zinaweza kutumika kwenye shughuli nyingine za uendeshaji wa team then mwishoni mwa mwezi December kabla ya dirisha la usajili kufunguliwa zinalipwa then unaendelea na usajili?
Fikiria madai haya yaliyoletwa hapa. Yanaitaka Yanga kulipa kiasi chote au kwa vipindi vitatu vinavyofuatana. Kwa nini usitumie udhaifu wa sheria hiyo kuanzisha taratibu za malipo mwezi December ili vipindi vingine vya malipo vianze mwaka mwingine na pesa zikatumika mahali pengine?
Kila kitu lazima kifanywe kwa manufaa ya taasisi si kwa manufaa ya watu nje ya taasisi.
TRA wanatoa nafasi ya kulipa corporate Tax kwa mkupuo au by Installments za hadi nne. Asilimia kubwa ya walipa kodi wanalipa kila robo ili pesa nyingine waizungushe izalishe pesa ya malipo mengine ya kodi. Uongozi sio kufanya payment kila muda . Viongozi wa Yanga wanajua wanachofanya. Lazima watafute fursa za kunufaika na udhaifu wa sheria na kanuni za FIFA au chama chochote cha mpira.
Hii ndiyo furaha yangu.View attachment 3170116
Usiku wa kuamkia leo nimepokea barua kutoka FIFA ikitamka kuifungia klabu ya Yanga kwa kushindwa kulipa madeni ya Usajili
Vyuma vipya vipi au wazee kama kina boccaMdeni yatalipwa Dirisha la usajili Liki karibia kufunguliwa, kwasasa wadai wote wawe wavumilivu.
January wakati vinashuka vyuma vipya vya kuongeza Nguvu nao watakua wamelipwa Inshallah.