Yanga sc yaja na kituko cha mwaka yatengeneza mask ya mabox.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Katika hali ya kushangaza kabla ya yanga sc imemtegenezea mchezaji wake mask huku wakitumia materials za mabox na sruu.

Haki hii imewapelekea wadau mbalimbali wa michezo nchini kushikwa na butwaa.😁😁😁

 
Utaskia ndo timu ya kwanza kumtengenezea mask mchezaji wake Afrika mashariki na kati!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…