GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huko kuna vuja..karibia mafuriko yabebe nyumba..
Mtani mimi huwa mnanichekeshaga sana kwa kuhamahama kwenu..! Mlianza na kombe la kiatu cha Mpole, sasa hivi mpo kwa Mayele..!!Huko kuna vuja..karibia mafuriko yabebe nyumba..
Tulia acha kuhamisha mada..hayo makombe ndo yanakujaje hapa...Mtani mimi huwa mnanichekeshaga sana kwa kuhamahama kwenu..! Mlianza na kombe la kiatu cha Mpole, sasa hivi mpo kwa Mayele..!!
Auzwe tu Ili Simba wapumueWenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums?
Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia.
Safari Njema huko uendako Mayele.
Kwakweli, maana amewapa shida sana na kule kutetema kwake..!!Auzwe tu Ili Simba wapumue
AahaaaaaaKwakweli, maana amewapa shida sana na kule kutetema kwake..!!
Inonga saa hizi anatetema pamoja na Mayele huko kwenye timu yao ya taifa, sijui amejifunza lini wallah..!!
Yamekuja kuonyesha mnavyohamahama linapokuja suala la Yanga. Sasa hivi mpo na Mayele..!!Tulia acha kuhamisha mada..hayo makombe ndo yanakujaje hapa...
Nyie huwa hamjioni?Yamekuja kuonyesha mnavyohamahama linapokuja suala la Yanga. Sasa hivi mpo na Mayele..!!