Yanga SC yamtaja Abdulrahman Kinana kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi 2022/23

Yanga SC yamtaja Abdulrahman Kinana kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi 2022/23

Unapoteza muda wako wa thamani kulijibu hilo kilaza.
Wewe ni Punguani wa Akili jibu lako hili hapa sawa كافر وحيد!
Screenshot_20220806-121548~2.jpg
 
Mkuu sina maana hiyo,

Maana yangu ni kwamba, kama tuna uwezo wa kumwalika asiye mwanasiasa tuna sababu zipi za kutomwalika mwanasiasa!

Kinana ni yanga, anapaswa kuangaliwa kama mwana yanga na si mwana ccm, kwasababu mpira hutuleta pamoja.
Kwahivyo Mkuu alipokuwa mgeni rasmi kwenye game ya Simba SC Vs Orlando Pirates alikuwa ni shabiki wa Simba?
20220806_123436~2.jpg
 
Nje ya Mada, Hivi hiyo Kauli Mbiu ya Yanga "Byuti Byuti" sio mambo ya akina Dada kweli? 🏃🏃🏃🏃
Hayo maneno mwanzilishi wake ni mtangazaji anayekodiwa na Azam media kutoka Uganda kuja kutangaza mpira kwa lugha ya kiingereza Peter Otahe.

Na aliyatumia hayo maneno kwenye mechi ya nusu fainali msimu uliomalizika kule Mwanza, kati ya Yanga na simba! Baada ya Fei Toto kuwatungua simba, ndipo huyo mtangazaji akaja na hayo maneno ya byuti byuti!
 
Inabidi wawekewe na video yenyewe ili wakumbuke Fei alivowatungua
 
Huyu Mzee kina ndo Mzee mwamba kwa Sasa nchi hii, walipata shida sana kipindi Cha jiwe. karibu sana Mzee wetu Kina Yanga ByutyByuty
 
Anaweza akawa kaitwa kama Mfanyabiashara, Kama Waziri Mstaafu, kama Kanali Mstaafu au kama Shabiki wa muda mrefu
Hapa huwa nashindwa kuelewa kwanini haya mambo ya mpira kuleta wanasiasa.

Huku ni kuwagawa mashabiki wa mpira, Simba walifanya hivi na Yanga nao wamemualika kiongozi wa siasa.

Anayeshauri haya mambo huwa haangalii madhara yake ya kuleta mpasuko kwa mashabiki wao na kutojifunza kwa wenye mpira wao.

Kocha Pitso angetosha kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi sana yaani..!
 
Anaweza akawa kaitwa kama Mfanyabiashara, Kama Waziri Mstaafu, kama Kanali Mstaafu au kama Shabiki wa muda mrefu
Nawaambia mnapoteza muda sana kumjibu huyu jamaa ana matatizo.
 
Na hapa ndipo ukomo wa kufikiri ulipoishia..
Huyo Martin maneno yake ndiyo Sheria?

Kweli waarabu koko mmelaaniwa mpaka akili.
Wapi nimesema Sheria? Nimesupport kuwa wewe ni katika wapumbavu ambao wamekubuhu katika nchi hii, ambapo PhD yako ulipata kwenye Chuo cha مالون كانوا ملعونين katika nchi ya Vonten sawa?
 
Back
Top Bottom