Kwahivyo Mkuu alipokuwa mgeni rasmi kwenye game ya Simba SC Vs Orlando Pirates alikuwa ni shabiki wa Simba?Mkuu sina maana hiyo,
Maana yangu ni kwamba, kama tuna uwezo wa kumwalika asiye mwanasiasa tuna sababu zipi za kutomwalika mwanasiasa!
Kinana ni yanga, anapaswa kuangaliwa kama mwana yanga na si mwana ccm, kwasababu mpira hutuleta pamoja.
Hayo maneno mwanzilishi wake ni mtangazaji anayekodiwa na Azam media kutoka Uganda kuja kutangaza mpira kwa lugha ya kiingereza Peter Otahe.Nje ya Mada, Hivi hiyo Kauli Mbiu ya Yanga "Byuti Byuti" sio mambo ya akina Dada kweli? 🏃🏃🏃🏃
Over my dead bodynalitarajia hilo pia.
Inabidi wawekewe na video yenyewe ili wakumbuke Fei alivowatunguaHayo maneno mwanzilishi wake ni mtangazaji anayekodiwa na Azam media kutoka Uganda kuja kutangaza mpira kwa lugha ya kiingereza Peter Otahe.
Na aliyatumia hayo maneno kwenye mechi ya nusu fainali msimu uliomalizika kule Mwanza, kati ya Yanga na simba! Baada ya Fei Toto kuwatungua simba, ndipo huyo mtangazaji akaja na hayo maneno ya byuti byuti!
Tangu lini akili za UTOPOLO zikatuletea uhuru haya mawazo peleka Kunako vidimbwiHivi wewe hujui yanga ni sehemu ya uhuru wa hii nchi
Na hapa ndipo ukomo wa kufikiri ulipoishia..Wewe ni Punguani wa Akili jibu lako hili hapa sawa كافر وحيد!View attachment 2315996
Hapa huwa nashindwa kuelewa kwanini haya mambo ya mpira kuleta wanasiasa.
Huku ni kuwagawa mashabiki wa mpira, Simba walifanya hivi na Yanga nao wamemualika kiongozi wa siasa.
Anayeshauri haya mambo huwa haangalii madhara yake ya kuleta mpasuko kwa mashabiki wao na kutojifunza kwa wenye mpira wao.
Kocha Pitso angetosha kuwa mgeni rasmi wiki ya Wananchi sana yaani..!
Nawaambia mnapoteza muda sana kumjibu huyu jamaa ana matatizo.Anaweza akawa kaitwa kama Mfanyabiashara, Kama Waziri Mstaafu, kama Kanali Mstaafu au kama Shabiki wa muda mrefu
Wanategemea Sana ushauri wa huyu hapa.Tangu lini akili za UTOPOLO zikatuletea uhuru haya mawazo peleka Kunako vidimbwi
Wapi nimesema Sheria? Nimesupport kuwa wewe ni katika wapumbavu ambao wamekubuhu katika nchi hii, ambapo PhD yako ulipata kwenye Chuo cha مالون كانوا ملعونين katika nchi ya Vonten sawa?Na hapa ndipo ukomo wa kufikiri ulipoishia..
Huyo Martin maneno yake ndiyo Sheria?
Kweli waarabu koko mmelaaniwa mpaka akili.
yote hayo haikuwa sawa,sijui unataka nini. Tumia akili yako binafsi badala ya kushikiwa akili na SimbaHabari yako mkuuView attachment 2316089View attachment 2316090
Wa dada kweli ni wananchi[emoji16][emoji16][emoji16]Wadada ni wanachi pia na wana haki kikatiba
tumekuelewa dada mlimbwendeWadada ni wanachi pia na wana haki kikatiba
Punguani wa Akili, huwezi kuelewa hapa yataka akili kubwa ya akina Sunday na Kikwete tu yaani pale Uto.
العبد الملعون من جماعة فرعون
Wamatumbi wawili mnasifiana matatizo yenu ya akili..Jibu mujarrabu kabsa