Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

MDA SI MREFU MADRID WATAOMBA MKATABA WA USHIRIKIANO NA YANGA
 
Kipindi IFFHS walivyotoa takwimu na simba kushika nafasi ya 9 mliwapa kongole kubwa iffhs na kujiita giant na hakuna shabiki wa yanga aliyewaponda iffhs.
Leo kibao kimegeuka mnawaita iffhs ni wa mchongo kisa hawajafanya mnachokipenda.
Rage yupo sahihi kabisa mashabiki wa simba ni mambumbumbu
 
Sawa, lakini hii list hamna kitu hii. Timu zote mbovu. Timu zilizokuwepo ile list ya mara ya mwisho na kurudi nyuma ndiyo zilikua timu ngumu.
Hizi za safari hii nyepesi sana. Kwanza sasa hivi focus ya CAF ipo kwenye Super League, siyo hizi rang
Kombe la mwezi mmoja [emoji16]
 
Ujinga ni nini?, Ujinga ni pale shabiki wa ndundukwa fc kukataa taarifa ya taasisi waliyokuwa wanaitumia pale ilipokuwa inatoa ubora wa timu yao 😅.... Ila saiz hawaitambui tena kisa imetoa takwimu wasizozipenda.waliongozwa na ze big popoma aliyepokonywa beji platinum OKW BOBAN SUNZU.

😅👈
 
mashabiki ma za cafandazi hizo ni takwimu za miezi kadhaa tu sio takwimu za jumla za caf
 
Yako wapi?
Kaa kwa kutulia
Yako wapi?
soma hapo
 
Data za FIFA hizo
 
Kwahiyo Yanga ana points ngapi mpaka sasa hivi mana naona hapo points zimetumika kurank
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…