Hakuna Hata y'a kufurahi kwa Kuwa Yanga kapangwa n'a hii timu, kikubwa ni kuuandaa kikamilifu Kabla ya kuwavaa wapinzani wetu. Kumbuka kila timu iliyofika hata hii si y'a kubeza Hata kidogo, Tusubiri kushangilia baada ya mechi y'a marudiano tukiwa tumefuzu makundi vinginevyo mambo yatakuwa yale yale y'a Wabotswana.Awa jamaa wamewatowa Zamaleik ya Egpty
Duh,Usiichukulie poa kiasi hiki, imemng'oa Zamalec ya Misri ndio imefuzu kupitia huyo
Duh!Usiichukulie poa kiasi hiki, imemng'oa Zamalec ya Misri ndio imefuzu kupitia huyo
Waethiopia mpira wao ni wa kapeti. Nasubiri kuona tena pasi 30 kabla ya kufunga bao.March 10, 2018
Wolayta Dicoa (2) VS Zamalek SC (1) full Video – Ethiopia Hawassa Int. stadium
Wolayta Dicha F.C. is an Ethiopian football club based in Wolayta Soddo and established in 2009 by the Welayta Development Association
Source: FETRA PRODUCTION SEYA
Au Yanga alivyodroo na Mbao FCKm simba alivyo droo na stendi lkn Yanga akamfunga stendi
Yanga alipigwa.Au Yanga alivyodroo na Mbao FC
Kwao wanahesabu ni droo...Yanga alipigwa.
Hizi dharau nazipenda sana, kama township rollera vile walivyodharauliwa.Wamepangwa na Timu bora ila yanga ni bora zaidi so wanaenda group stage daima mbele nyuma mwiko
Historia inajirudia mwaka 1998 Cofee ya Ethiopia waliwatoa Al Ahly ya Misri wakajaka kutolewa na Yanga. Yanga wakaingia hatua ya makundi na je mwaka huu baada ya Walayta Dicha ya Ethiopia kuitoa Zamaleik ya Misri na kukutana na Yanga je Yanga wataweza itoa hiyo timu ya Ethiopia na kuingia katika makundi kama mwaka 1998??Hizi dharau nazipenda sana, kama township rollera vile walivyodharauliwa.
Waethiopia mpira wametuzidi na mpira wao ni wa kapeti.
Endeleeni kuwadharau.
Hata Stand United ilikuwa 3-3Akakumbane na Al Masry tu ili tuone kama wana ubavu wa kwenda nae 2-2 aggregate kama sie
Hembu soma vizuri Uelewa nimesema wamepangwa na Timu bora ila yanga ni bora zaidi sasa hapo zarau iko wapiHizi dharau nazipenda sana, kama township rollera vile walivyodharauliwa.
Waethiopia mpira wametuzidi na mpira wao ni wa kapeti.
Endeleeni kuwadharau.
Mkuu we ni shabiki tu es juzi, hujui Historia ya Yanga au utakuwa mtoto wa miaka ya 2000,hivyo siyo kosa lako.Utasikia Timu yenyewe haifahamiki jamani Yanga anafahamika wapi mana yeye ubingwa wake Africa ni round ya kwanza akiingia round ya pili ndo mwisho wa safari yake. Labda kama mkisema wamekutana wasiofahamika wote. Sasa hapo mwenye maandalizi mazr ndo atapita
Tuwekee historia ya Yanga Africa wewe wa 1990Mkuu we ni shabiki tu es juzi, hujui Historia ya Yanga au utakuwa mtoto wa miaka ya 2000,hivyo siyo kosa lako.
Acha ushabiki maandazi, tafuta Historia, zipo tu za kutukuka au muulize Manara anajua. Ni kwa sababu tu wana jangwani hatupendagi sans kuongelea yaliyopita. Kwa sababu Hata za Simba unazoweka hapa hazitusaidii kwa sasa kuiendeleza club. Nakubaliana n'a wewe, atajayejiandaa vizuri, atapata matokeo n'a si vinginevyo. Tuache ushabiki maandazi unatumaliza.Tuwekee historia ya Yanga Africa wewe wa 1990
Historia inaweza kujirudia, kikubwa ni maandalizi mazuri na kujiamini basi.Historia inajirudia mwaka 1998 Cofee ya Ethiopia waliwatoa Al Ahly ya Misri wakajaka kutolewa na Yanga. Yanga wakaingia hatua ya makundi na je mwaka huu baada ya Walayta Dicha ya Ethiopia kuitoa Zamaleik ya Misri na kukutana na Yanga je Yanga wataweza itoa hiyo timu ya Ethiopia na kuingia katika makundi kama mwaka 1998??