Tatizo la viongozi mechi kma hizi awazichukulii umuhimu ingekuwa wanacheza na watani wao ungeona maandalizi yalivyo kumbuka mechi na Township ilifika ata uwanja wa mazoezi wanalumbanana na TFF na wamiliki wa uwanja wa Taifahi
Historia inaweza kujirudia, kikubwa ni maandalizi mazuri na kujiamini basi.