Utasikia Timu yenyewe haifahamiki jamani Yanga anafahamika wapi mana yeye ubingwa wake Africa ni round ya kwanza akiingia round ya pili ndo mwisho wa safari yake. Labda kama mkisema wamekutana wasiofahamika wote. Sasa hapo mwenye maandalizi mazr ndo atapita