Yanga SC Yazindua Jezi Rasmi za Msimu Mpya wa 2022/23

Sasa huyu traffic police anasimamisha magari pale Jangwani??
Au mwendokasi pale Fire??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.

Tate Mkuu njoo hapa utoe neno. View attachment 2307335
Yani ukija jukwaa hili ni kucheka tuu no stress. Ngoja tusubiri zetu Simba taifa kubwa
 
Sasa hizi jezi mfanye haraka mlete Madera yake yatafaaa kwa vigoma
 
Yani ukija jukwaa hili ni kucheka tuu no stress. Ngoja tusubiri zetu Simba taifa kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubir kwa hamu kubwa.
 
Sasa hizi jezi mfanye haraka mlete Madera yake yatafaaa kwa vigoma
Tena zitanoga kwenye mashughuriii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu nahitaji nyumba ya kupanga napata wapi?[emoji28][emoji23]
 
Kumbe uwa unaziharisha,hasara kubwa kwa familia yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shogaaaa angu tuliza ngengaaa!!!!
Unateseka na kipi? Kamuzimikie Ngowi.

Byuti byuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…