Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta hela ununue simu nzuri sio hii tecno
Ubunifu mzuriMapema jioni hii mabingwa wa nchi, mabingwa mara nyingi na mabingwa wa kihistoria wamezindua rasmi uzi mpya utakao tumika msimu ujao.
Mabingwa hao wameendelea kushika usukani katika kuzalisha na kutengeneza jezi nzuri na zenye ubora afrika mashariki na kati.
Rais wa Klabu anazungumza.
Sheria Ngowi anazungumza.
Sifa ya jezi za. nyumbani (home kit) imejengwa na iconic buildings zote za taifa la Tanzania.
Sifa za jezi za ugenini inaundwa na tafsiri muunganiko wa wanachama na klabu yao.
Sifa ya jezi namba tatu inaundwa na kumbukumbu ya wachezaji wa zamani wa Yanga SC.
View attachment 2307272View attachment 2307273View attachment 2307274View attachment 2307275View attachment 2307276View attachment 2307277View attachment 2307278View attachment 2307279
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hujaona ramani ya nyumba yako kwenye jezi ya yanga basi tupigie kwenye namba yetu ya wizara ya ardhi. [emoji41][emoji41]
Nimependa huu ubunifu kwenye home kit.UDSM, Nkurumah hall ([emoji3590])
UDOM, Admission block ([emoji171])
Km hujaona chuo chako, fika haraka TCU uhakikiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti. View attachment 2307921
Gagulo la mamayakoHizi gagulo mtanunua kweli?
View attachment 2307260
Unataka team imtumie ili wapigwe fine. Pamoja na tambo zote za manara hawazi kupewa platform kwenye club maana rungu litahamia kwa club.Bila matusi, bila jazba tujadili,au nini maoni yako kuhusu uzinduzi wa jezi za msimu mpya 2022/2023.. Bila muhamashishaji wa timu hiyo ndugu Sunday Manara,
Nini maoni yako je kutokuwepo katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo,umepata picha gani...
Jezi zimepata wasemaji wengi kuliko matarajio hata Pengo la Manara halionekani,, makolo wamesaidia kuipa promo jeziBila matusi, bila jazba tujadili,au nini maoni yako kuhusu uzinduzi wa jezi za msimu mpya 2022/2023.. Bila muhamashishaji wa timu hiyo ndugu Sunday Manara,
Nini maoni yako je kutokuwepo katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo,umepata picha gani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu, eti nn?? Poleeeeeh Ngowi kakutua na kukuacha mnyongee, weraaaaaaaahNimependa huu ubunifu kwenye home kit.
At least una jicho kali la kutambua iconic buildings.
Sheria Ngowi anahitaji pongezi kwa kweli.
Nzuri zipi au zile shamba dress zenu naskia saivi mmetoa night dressJezi mbaaaaaayaaaaaaaaaa
Kumbe ni kweli?UDSM, Nkurumah hall ([emoji3590])
UDOM, Admission block ([emoji171])
Km hujaona chuo chako, fika haraka TCU uhakikiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti. View attachment 2307921