Waulize SportPesaNaomba mashabiki wa yanga waseme mapema tujue kama wanaokuja kucheza na simba ni Sevilla au sio sevilla? Sio sevilla ishakula tatu bila ndio mnaaza kusema wale sio sevilla.
Hahah. Kweli mkuuHawakawii kusema wazungu koko [emoji23][emoji23][emoji23]
Zile tuhuma za kununua mechi na hapa zitakuwepo?Hawakawii kusema wazungu koko [emoji23][emoji23][emoji23]
Waokota mipira pale SevillaNaomba mashabiki wa yanga waseme mapema tujue kama wanaokuja kucheza na simba ni Sevilla au sio sevilla? Sio sevilla ishakula tatu bila ndio mnaaza kusema wale sio sevilla.
Vip Yanga wameshanunua jezi za Sevila