Yanga semeni kabisa wanaokuja ni Sevilla au sio Sevilla

Yanga semeni kabisa wanaokuja ni Sevilla au sio Sevilla

Naomba mashabiki wa yanga waseme mapema tujue kama wanaokuja kucheza na simba ni Sevilla au sio sevilla? Sio sevilla ishakula tatu bila ndio mnaaza kusema wale sio sevilla.
Waulize SportPesa
 
Hapa sasa hivi hawaongei baada ya mechi utawasikia wale wazingu koko
 
.
tapatalk_1510335944112.jpeg
 
Yanga wameshawaambia wachezaji wa sevilla wasiingie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na wasipite kwenye mageti ya kawaida
 
Tatizo akili za mashabiki wa yanga huwa zina peperuka hawaeleki
 
Naomba mashabiki wa yanga waseme mapema tujue kama wanaokuja kucheza na simba ni Sevilla au sio sevilla? Sio sevilla ishakula tatu bila ndio mnaaza kusema wale sio sevilla.
Waokota mipira pale Sevilla
 
Back
Top Bottom