Yanga shangilieni na muungane na watanzania kufurahia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
 
Bado tuna imani na mitetemo ya mtumishi "Kalala yoo Mayele" huko misitu ya Congo huku vifijo na ndelemo vikilindima daima
 
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
Hatuna shida na hilo
 
Mkuu...tukimaliza Jambo letu Arusha tutawasaidia kushangilia hicho kiatu chake.....ngoja tuchukue kombe kwanza......
 
Binafsi ni mwanajangwani ila nimependezwa na mpole kuchukua kiatu, angechukua mayele pia ingekua poa tu coz ni mchezaji wetu.

Kwa yanga wala hiyo wala haikua na shida na presha saana, ila wapinzani ndo walikua tumbo joto.
 
Kiatu cha mfungaji no 2 Mayele hiki hapa
IMG-20220629-WA0059.jpg
 
Binafsi ni mwanajangwani ila nimependezwa na mpole kuchukua kiatu, angechukua mayele pia ingekua poa tu coz ni mchezaji wetu.

Kwa yanga wala hiyo wala haikua na shida na presha saana, ila wapinzani ndo walikua tumbo joto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mtasema yote leo, badooo mbna.
Mayele wenu analalama hamumpi ushirikiano.
 
Mkuu...tukimaliza Jambo letu Arusha tutawasaidia kushangilia hicho kiatu chake.....ngoja tuchukue kombe kwanza......
Tena mshangilie vizuri
 
Attachments

  • 20220629_224955.jpg
    20220629_224955.jpg
    36.8 KB · Views: 7
Kutoka kwenye kusikilizia maumivu ya kuukosa ubingwa wa ligi kuu na ule wa shirikisho, kutokana na kusajili washambuliaji butu!

Mpaka kujitoa ufahamu na kuanza kumshangilia kwa nguvu nyingi mchezaji mzawa wa timu ndogo tu na changa kabisa ya Geita Gold, na aliyeibuliwa kuwa mfungaji bora na kocha mzawa Felix Minziro (mchezaji mahiri wa zamani wa timu ya wananchi Yanga)!! Kwa kumuamini na kumpa nafasi kwenye kikosi chake cha kwanza (maana alikuwa na uwezo wa kumbania kama afanyavyo yule msaidizi wa juju fc kwa wale wachezaji wasiompa 10%)!!

Hakika mashabiki wa Mudi fc wanastahili kabisa kuitwa mbumbumbu. Yaani badala ya kuangalia mapungufu ya timu yao! Wamegeuka na kuwa mashabiki wa George Mpole!!!!!
 
Kalalama wapi Mayele!?

Mpole kawapa ubingwa makolo[emoji23][emoji23].
Binafsi sijaumizwa na kiatu kuchukuliwa na mpole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliona clip akiwa anamfata kibendera huku analia, zile dreads sasa zinapepea km manyoya ya paka, mbavuu cnaaa woiiiiih

Mnalo hili, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutoka kwenye kusikilizia maumivu ya kuukosa ubingwa wa ligi kuu na ule wa shirikisho, kutokana na kusajili washambuliaji butu!

Mpaka kujitoa ufahamu na kuanza kumshangilia kwa nguvu nyingi mchezaji mzawa wa timu ndogo tu na changa kabisa ya Geita Gold, na aliyeibuliwa kuwa mfungaji bora na kocha mzawa Felix Minziro (mchezaji mahiri wa zamani wa timu ya wananchi Yanga)!! Kwa kumuamini na kumpa nafasi kwenye kikosi chake cha kwanza (maana alikuwa na uwezo wa kumbania kama afanyavyo yule msaidizi wa juju fc kwa wale wachezaji wasiompa 10%)!!

Hakika mashabiki wa Mudi fc wanastahili kabisa kuitwa mbumbumbu. Yaani badala ya kuangalia mapungufu ya timu yao! Wamegeuka na kuwa mashabiki wa George Mpole!!!!!
Imepenya hadi sehemu husika eeeeh? Kwan Mpoleee amepiga wapiiu? Hebu sema tukusaidie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliona clip akiwa anamfata kibendera huku analia, zile dreads sasa zinapepea km manyoya ya paka, mbavuu cnaaa woiiiiih

Mnalo hili, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ndo ilikua mechi yako kwanza kucheki game nini??

Ni kawaida sana ile hata lile goli la nkane lingekataliwa bado kulalama kungekuwepo tu.

Mbona hutaki yanga tumpongeze mpole au unadhani mpole ni kolo, yule ni mchezaji wa geita gold fc 😂😂.
Sasa makolo mnaacha kufurahia wafungaji wenu mnamshobokea mpole namna gani tena 😂😂.
 
Ile ndo ilikua mechi yako kwanza kucheki game nini??

Ni kawaida sana ile hata lile goli la nkane lingekataliwa bado kulalama kungekuwepo tu.

Mbona hutaki yanga tumpongeze mpole au unadhani mpole ni kolo, yule ni mchezaji wa geita gold fc [emoji23][emoji23].
Sasa makolo mnaacha kufurahia wafungaji wenu mnamshobokea mpole namna gani tena [emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani panauma wapiiii? Hebu sema Mpoleeeee kawapiga sehemu gani, tuwasaidie.

Habari kuu, Mpoleeeee kasimamisha jiji. Weraaaaaaaah.
 
😀😀😀 Hakuna waliosimamisha jiji kama mabingwa wa kihistoria.

Mpole kawasimamisha makolo tu.
Wala nchi haijastuka.
 
Back
Top Bottom