Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani msituringishie!

Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇

20230511_103200.jpg
 
View attachment 2627443
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
 
Ipo siku mtakuja kusema ukweli kwamba Simba ndio team ya kwanza kutolewa marinda...
Makolo Madunduka ndio wakwanza kushikishwa ukuta mara nyingi na waume zao Yanga... BINGWA×29
Duh.....
 
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani msituringishie!

Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2627443
Kombe la Stella [emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani msituringishie!

Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇

View attachment 2627443
😀😀😀
 
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani msituringishie!

Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2627443
AD meaning Anno Domini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kombe la stella
 
NAONA JAMII FORUM IKIZIDI KUDHALILISHWA NA WATU KAMA HAWA

Active

Naomba muwe MAKINI na Nyuzi kama hisi..

Ni za kijinga sana
 
Back
Top Bottom