eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Kitu gani kifanyike ili tuweze kuulinda uwanja wetu wa taifa usiharibiwe na watu wachache wasio na elimu.Binafsi naamini mtu alio elimika hawezi ng'oa kiti au akojolee kwenye sinki la kunawia.Kweli unaweza sema ni hasira ila kiti kimekosa nini,na ukitupa utakalia nini.Haya klabu inatakiwa kulipa kiasi cha ml 368 kwa pesa hio huoni ingeweza sajili wachezaji hata 4 wa kimataifa,faida ipi hapo klabu inapata.Asenal jana kafunga goli la mkono tena dakika 1 baada ya zile za nyongeza,mpira ukaisha mikono wakapeana na maisha yanaenda.Tubadilike wadau.