Salt Bae
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 140
- 196
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?