Yanga sio mtani wa jadi

Yanga sio mtani wa jadi

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?
 
Mambo ya Simba na Yanga kama huujui undani wa timu hizi ni afadhali kunyamaza Ndugu yangu...Hivi Ndugu yangu unafikiri kwanini makomandoo wa timu hizi mbili kuhakikisha kuwa 'wanalinda' uwanja siku mbili hivi kabla ya mechi na wakati wa mechi?? unadhani ni masuala au hofu ya vitendo vya ushirikiana peke yake?? Hizi timu usizichezee kabisa...kuna mambo mazito yanafanyika na ambayo ukiambiwa utashangaa...ukizubaa wakati wa halftime wenzako wanakuwahi...Hivi unadhani marefarii huwa wanachezesha fair kwenye timu hizi dhidi ya timu nyingine kwenye ligi kuu??..Chunguza Simba ya sasa inapocheza na timu nyingine za ligi na kama unaujua mpira vizuri utaweza kugundua tatizo lipo wapi...Unadhani kwanini mchezaji wa timu anafanya faulo ya kijinga ya redcard na kutolewa??? Mpira ni fitina ..na hii siyo Tanzania tu bali ni dunia nzima...mkubwa katika soka ana element ya upendeleo kwa asilimia fulani...
 
hakianani siamini kama tunaelekea mwisho wa utani wa jadi na majirani zetu. maana kwa hali ninayoiona hadi sasa yanga inaelekea kufa kabisa. haipiti miaka mitano zitabaki hadithi tu kwamba walikuwepo watani wa jadi mmoja wa kariakoo mwingine wa jangwani ila wa jangwani aliyeyuka ghafla kutokan na mipango mibaya ya wanachama wake na utapia mlo ulioikiumba timu.
 
Sumu gani hiyo ambayo inafanya timu nayo ishambulie kwa kasi hadi wakapata bao la kuongoza??

Nilitegemea baada ya kupewa sumu wachezaji wote wangelewa

Tutakua hatuwafungi basi maana kila tukishinda mnasema tumeweka sumu kwenye vyumba

Sent using unknown device
 
Nimefukunyua nimejiridhisha kwamba zile ni propaganda za AS Vita, TP Mazembe na Zahera &Yanga kututoa kwenye mchezo.

Huko CAF hakuna shitaka kama hilo
 
Sumu ... ni kitu kibaya saaana. Kinaua mbona hakuna aliyekufa? Hizi mbinu zinafanywa kuivuruga Simba kuelekea mchezo wao na TP Mazembe. Simba wawe makini na propaganda za kijinga hizo. Hakuna Sumu wala nini ..Simba inashinda kihalali . Sumu gani inafanya kazi dk ya 90 wakati mpira unaisha ndio goli liingie?? Basi ni sumu basi Yanga nao walipuluziwa Iringa na Shinyanga??? Na Vita walipuliziwa Algeria?? Yaani kila timu ikifungwa na Simba ni sumu...acheni kumsikiliza huyo zuhura mwishowe atawaamuru mwu mwa budu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?
Kiongozi, sikiliza.
Ofisi za BMT zipo hapo uwanjani. Mohammad Kiganja Mkurugenzi ambaye BMT ipo chini yake, ni mnazi mkubwa wa Simba. Waziri Mkuu Majaliwa ni mnazi mkubwa wa Simba. Kwenye uchaguzi wa TFF, alihakikisha viongozi wote ni Simba. Uwanja umekuwa kama wa kwao wanafanya watakalo.
 
Sumu ifanyayo Nazi polepole sana. Yaani 40-70minutes ndiyo inaanza reaction. Nyie janja yenu kwishiney. Povu rukusa wala sijali.
Sumu gani hiyo ambayo inafanya timu nayo ishambulie kwa kasi hadi wakapata bao la kuongoza??

Nilitegemea baada ya kupewa sumu wachezaji wote wangelewa

Tutakua hatuwafungi basi maana kila tukishinda mnasema tumeweka sumu kwenye vyumba

Sent using unknown device
 
Sumu ... ni kitu kibaya saaana. Kinaua mbona hakuna aliyekufa? Hizi mbinu zinafanywa kuivuruga Simba kuelekea mchezo wao na TP Mazembe. Simba wawe makini na propaganda za kijinga hizo. Hakuna Sumu wala nini ..Simba inashinda kihalali . Sumu gani inafanya kazi dk ya 90 wakati mpira unaisha ndio goli liingie?? Basi ni sumu basi Yanga nao walipuluziwa Iringa na Shinyanga??? Na Vita walipuliziwa Algeria?? Yaani kila timu ikifungwa na Simba ni sumu...acheni kumsikiliza huyo zuhura mwishowe atawaamuru mwu mwa budu.
wewe wacha nikuelimishe, kuna sumu zinaua taratibu, si kila sumu inafanya kazi instantly no, baadhi ya sumu ni kama kilevi, na ufanya kazi kutegemea na mwili was muhusika, mwingine kilevi chake pafu moja chali, mwingine hadi creti zima liishe ndiyo anazimika, hivyo na sumu vivyo hivyo, tusibishe. Ila huu mchezo ungefanyika kesho ingekuwa safi sana, maana Muganda angekufa tu dk za mwishoni.
 
hakianani siamini kama tunaelekea mwisho wa utani wa jadi na majirani zetu. maana kwa hali ninayoiona hadi sasa yanga inaelekea kufa kabisa. haipiti miaka mitano zitabaki hadithi tu kwamba walikuwepo watani wa jadi mmoja wa kariakoo mwingine wa jangwani ila wa jangwani aliyeyuka ghafla kutokan na mipango mibaya ya wanachama wake na utapia mlo ulioikiumba timu.
Tabu ya kuanza kujua mpira kupitia Google
Angalia hii ilitokea mwaka 1985 ,sasa hesabu toka 85 mpaka leo imepita miaka mingapi
 
Attachments

  • IMG-20190323-WA0004.jpg
    IMG-20190323-WA0004.jpg
    45.1 KB · Views: 15
Mambo ya Simba na Yanga kama huujui undani wa timu hizi ni afadhali kunyamaza Ndugu yangu...Hivi Ndugu yangu unafikiri kwanini makomandoo wa timu hizi mbili kuhakikisha kuwa 'wanalinda' uwanja siku mbili hivi kabla ya mechi na wakati wa mechi?? unadhani ni masuala au hofu ya vitendo vya ushirikiana peke yake?? Hizi timu usizichezee kabisa...kuna mambo mazito yanafanyika na ambayo ukiambiwa utashangaa...ukizubaa wakati wa halftime wenzako wanakuwahi...Hivi unadhani marefarii huwa wanachezesha fair kwenye timu hizi dhidi ya timu nyingine kwenye ligi kuu??..Chunguza Simba ya sasa inapocheza na timu nyingine za ligi na kama unaujua mpira vizuri utaweza kugundua tatizo lipo wapi...Unadhani kwanini mchezaji wa timu anafanya faulo ya kijinga ya redcard na kutolewa??? Mpira ni fitina ..na hii siyo Tanzania tu bali ni dunia nzima...mkubwa katika soka ana element ya upendeleo kwa asilimia fulani...
Huo ni mchezo wa yanga ushahidi ni yule mchezaji anayejifunga na kufanya faulo Simba hawana mchezo huo kutokana na uwekezaji waliofanya ndio maana wanafanya vizuri kitaifa na kimataifa
 
Kiongozi, sikiliza.
Ofisi za BMT zipo hapo uwanjani. Mohammad Kiganja Mkurugenzi ambaye BMT ipo chini yake, ni mnazi mkubwa wa Simba. Waziri Mkuu Majaliwa ni mnazi mkubwa wa Simba. Kwenye uchaguzi wa TFF, alihakikisha viongozi wote ni Simba. Uwanja umekuwa kama wa kwao wanafanya watakalo.

naona sasa mmeanza kufika mbali. hadi kuanza kuwatuhumu viongozi wa kitaifa
 
Back
Top Bottom