Yanga sioni ikitoboa kimataifa

Pilipili ya shamba yakuwashia nini? Wewe angalia ya Simba, achana na timu ya wananchi!
 
KWA MSISITIZO "YANGA SAFARI YAKE INAHITIMISHWA JUMAMOSI"

Yanga vs Township Rollers
1-0, 2-1 au 2-2, 1-2
haya ni matokeo yatakayo tokea Jumamosi tarehe 10 saa 12 jioni.

Mechi ya Marudiano

Township Rollers 3 Yanga 1

Labda Yanga akijipanga anaweza sumbua Ligi Kuu, ila kwa sasa team haijakaa sawa
 
Naunga mkono Hoja kwa kiasi kikubwa ila ushabiki umekujaa kwenye mawazo yako. Una uhakika gani simba itafika mbali kwenye hayo mashindano?
 
Naunga mkono Hoja kwa kiasi kikubwa ila ushabiki umekujaa kwenye mawazo yako. Una uhakika gani simba itafika mbali kwenye hayo mashindano?
Hapo nimezungumzia yanga pekee Wala sijaizungumzia Simba na nimetoa facts ningekuwa mshabiki nisingeitoa facts zaidi ya kuropoka.
 
Concentrate kwenye timu yako. Hujasikia Uchebe anasema Mbrazil na Wawa lugha gongana?
Ya Yanga tuachie wenyewe. Nendeni mkaroge Wamakonde wa Msumbiji .
 
Sawa mrithi wa sheikh Yahya
 
Nyie mikia wale songo mnawajua vizuri wale hawapigi 5-0 wale ni 6-0,7-0,8-0..😂😂
 
Ukisikia ujinga ndiyo huo mashabiki wa mikia mmekuwa mashoga wa kificho sasa mnakuja hadharani unafikiri hili uendelee kimataifa lazima utumie uongozi wa kusisiasa katika michezo huo ni ujinga mipira haiendeshwi hivyo jifunze kwa walioendelea hacha kuwa Manara mpira ni kwenye uwanja na siyo mdomoni
 
Kwa hiyo Simba wameishafuzu tayari unaanza kuijadili Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…