1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Dah nimeona aisee ile mwaka jana ndo walibugia 2-1 taifa [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hawa kumbeHuyu huyu township aliyempiga yanga goli mbili pale taifa ama
Hapo nimezungumzia yanga pekee Wala sijaizungumzia Simba na nimetoa facts ningekuwa mshabiki nisingeitoa facts zaidi ya kuropoka.Naunga mkono Hoja kwa kiasi kikubwa ila ushabiki umekujaa kwenye mawazo yako. Una uhakika gani simba itafika mbali kwenye hayo mashindano?
Concentrate kwenye timu yako. Hujasikia Uchebe anasema Mbrazil na Wawa lugha gongana?Me ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni ngumu kwa yanga kuitoa township rollers kwa vigezo vifuatavyo
1.maandalizi sio yakutosha
Timu ya township rollers imecheza mechi nne dhidi ya strong opponents pre season tofauti na yanga imecheza na timu ambazo sio nzuri ukiitoa ile timu ya Kenya
2.hakuna combination nzuri kwa yanga
Yanga inawachezaji wengi wapya kulinganisha na township rollers ambao wameuza wachezaji wanne tu kwenye timu yao na kuingiza wachezaji wanne yaani hamna mabadiliko makubwa Sana kwenye timu yao ndo maana kocha ametengeneza good coordination ya team kwa muda mfupi Bali kwa yanga inaitaji muda mrefu mpaka kocha wao atengeneze combination nzuri kutokana na weakness zilizoonekana ktk timu na pia ukinzingatia wana muda mfupi mpaka kufika siku ya mechi jumamosi.
Sawa mrithi wa sheikh YahyaMe ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni ngumu kwa yanga kuitoa township rollers kwa vigezo vifuatavyo
1.maandalizi sio yakutosha
Timu ya township rollers imecheza mechi nne dhidi ya strong opponents pre season tofauti na yanga imecheza na timu ambazo sio nzuri ukiitoa ile timu ya Kenya
2.hakuna combination nzuri kwa yanga
Yanga inawachezaji wengi wapya kulinganisha na township rollers ambao wameuza wachezaji wanne tu kwenye timu yao na kuingiza wachezaji wanne yaani hamna mabadiliko makubwa Sana kwenye timu yao ndo maana kocha ametengeneza good coordination ya team kwa muda mfupi Bali kwa yanga inaitaji muda mrefu mpaka kocha wao atengeneze combination nzuri kutokana na weakness zilizoonekana ktk timu na pia ukinzingatia wana muda mfupi mpaka kufika siku ya mechi jumamosi.
Sio wakubeza hawa jamaaNdo hawa kumbeView attachment 1175643