Yanga sioni ikitoboa kimataifa

Yanga sioni ikitoboa kimataifa

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Me ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni ngumu kwa yanga kuitoa township rollers kwa vigezo vifuatavyo

1.maandalizi sio yakutosha
Timu ya township rollers imecheza mechi nne dhidi ya strong opponents pre season tofauti na yanga imecheza na timu ambazo sio nzuri ukiitoa ile timu ya Kenya

2.hakuna combination nzuri kwa yanga
Yanga inawachezaji wengi wapya kulinganisha na township rollers ambao wameuza wachezaji wanne tu kwenye timu yao na kuingiza wachezaji wanne yaani hamna mabadiliko makubwa Sana kwenye timu yao ndo maana kocha ametengeneza good coordination ya team kwa muda mfupi Bali kwa yanga inaitaji muda mrefu mpaka kocha wao atengeneze combination nzuri kutokana na weakness zilizoonekana ktk timu na pia ukinzingatia wana muda mfupi mpaka kufika siku ya mechi jumamosi.
 
WIVU NI KIDONDA, UKISHIRIKI UTAKONDA

TUACHE NA YANGA YETU
Sijaandika cos Nina wivu Bali kwa mtazamo wangu ninaouona haina haja ya kupaniki ukitulia kwa umakini na ukausoma Uzi wangu Bila ushabiki utaliona hilo.
 
HUONI IKITOBOA KWA SABABU WEWE NI KIPOFU...HAINA HAJA YA KUPANIKI

NA MWAKA HUU SIMBA MTAKOMA, YANGA INAWAUMIZA VICHWA SANA.... MADHAIFU YA YANGA UNAYAONA KULIKO YA MIKIA FC
 
Mbona niliandika Uzi wangu kuhusu Simba na nikasema wabrazili wote waliowasajili wamepigwa kweupe na nikatoa na sababu.
 
Usijari utaiona ikitobolewa kimataifa
 
HUONI IKITOBOA KWA SABABU WEWE NI KIPOFU...HAINA HAJA YA KUPANIKI

NA MWAKA HUU SIMBA MTAKOMA, YANGA INAWAUMIZA VICHWA SANA.... MADHAIFU YA YANGA UNAYAONA KULIKO YA MIKIA FC
Kelvin Yondani hatocheza Jumamosi, Township wanakuja kuchukua ushindi wanaondoka kubali ukatae.
 
Me ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni ngumu kwa yanga kuitoa township rollers kwa vigezo vifuatavyo

1.maandalizi sio yakutosha
Timu ya township rollers imecheza mechi nne dhidi ya strong opponents pre season tofauti na yanga imecheza na timu ambazo sio nzuri ukiitoa ile timu ya Kenya

2.hakuna combination nzuri kwa yanga
Yanga inawachezaji wengi wapya kulinganisha na township rollers ambao wameuza wachezaji wanne tu kwenye timu yao na kuingiza wachezaji wanne yaani hamna mabadiliko makubwa Sana kwenye timu yao ndo maana kocha ametengeneza good coordination ya team kwa muda mfupi Bali kwa yanga inaitaji muda mrefu mpaka kocha wao atengeneze combination nzuri kutokana na weakness zilizoonekana ktk timu na pia ukinzingatia wana muda mfupi mpaka kufika siku ya mechi jumamosi.
Mkuu mimi simba, ila Yanga timu anayokutana nayo sio ngumu kivile,, mm naamin watapita hii hatua,,
 
Yaani unakiri wazi wewe ni shabiki wa simba aka underdog/mikia/boxer/mbumbumbu fc! Halafu cha kushangaza unakuja na uzi wa kuiongelea timu ya wananchi! tena ukionekana una Nongwa ya waziwazi kabisa!

Huku ndiko mwenyekiti wetu wa chama huita kuwashwa washwa!
 
Back
Top Bottom