Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

Zouzoutz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
1,883
Reaction score
2,732
Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo

Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana

Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu

Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda kuwapokea wana Aba Yellows ni ruksa kwenda airport

Wanayanga hatuna ubaya na mtu,siye ni show show tu

Hizo kaniki zenu za njano mtazivaliwa kichwani na kuzivulia kiunoni

Na
GJmzChBW4AEkWXq.jpeg
kipigo kipo pale pale

Atapigwa shetani na mama mkwe wake

Pokeeni simu,msijifanye hamzioni...
 
Back
Top Bottom