Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

Wanaopokea wageni wanafahamika
 

Attachments

  • Screenshot_20240326-213820.png
    Screenshot_20240326-213820.png
    1.2 MB · Views: 1
Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo

Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana

Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu

Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda kuwapokea wana Aba Yellows ni ruksa kwenda airport

Wanayanga hatuna ubaya na mtu,siye ni show show tu

Hizo kaniki zenu za njano mtazivaliwa kichwani na kuzivulia kiunoni

Na View attachment 2945334kipigo kipo pale pale

Atapigwa shetani na mama mkwe wake

Pokeeni simu,msijifanye hamzioni...
Upuuzi wa kupokea wageni uko utopolo tu
 
Bila sisi werevu na wenye busara zao kujitoa muhanga kutoka hadharani kupinga amri ya serikali na kukemea mipango yenu mlikuwa mnaelekea kubaya sana. Mtushukuru sana asee.
 
Back
Top Bottom