HASIRA ZETU NI KWENYE PITCH DAKIKA 90+Kabisa
Siye hatuna mambo ya kuchimbia madawa Wala kupigwa faini na CAF Wala tff
HILO NDIO LA MUHIMUKabisa focus zetu ni kwenye pich tu,
Hao wakaanga sumu acha wapambane na Hali yao
πππ Hii ya Pokea Simu nimeipenda basi Mamelodi amekwisha mpaka hapo zitapigwa Simu mpaka atapokeaPokeeni simu,msijifanye hamzioni...
TUSUBIRISema itanoga iwapo wale wa upande wa pili watakalishwa hiyo tarehe 29
Mji utatulia zaidi iwapo Yanga naye atapata matokeo ya ushindi tarehe 30
Pokea Simu πAahaaaa
Wanajifanya hawazioni eti