Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nasikia hawa ndio mabingwa wa Afrika mwaka huu πWazee wa mabilichiView attachment 2938004
Maigizo gani hadi Gamondi aangue kilio kwa refa ππSijafungwa tumeigiza tu kuwaonesha mamelod hatuna jipya wasitupanie sana
Mabingwa wa mchongo π€£π€£π€£Nasikia hawa ndio mabingwa wa Afrika mwaka huu π
π€£π€£π€£Maigizo gani hadi Gamondi aangue kilio kwa refa ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi vichekesho vinapatikana wapi na unabonyeza ngapi?Sijafungwa tumeigiza tu kuwaonesha mamelod hatuna jipya wasitupanie sana
Mabingwa wa kupeana ubingwa kwenye vijiwe vya kahawa πMabingwa wa mchongo π€£π€£π€£
Wameyatimba watani π€£π€£Nyuma mwiko midomo imewaponza
Watani leo wamenikimbiaMabingwa wa kupeana ubingwa kwenye vijiwe vya kahawa π
Coca π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi vichekesho vinapatikana wapi na unabonyeza ngapi?
Mbele kwa mbele π€£π€£Nyuma mwiko midomo imewaponza
ππ€£π€£π€£Maigizo gani hadi Gamondi aangue kilio kwa refa ππ
tulikuwa tunawapoteza maboya manlodiYanga kunani? Siwaoni humu watani.
Mpo kimyaaaaa π€£π€£
Watani, nasikia feisal anarudi jangwani π€£π€£π€£View attachment 2937981
WAZEE WA MABLICHI π€£π€£π€£π€£
ungependelea wafanyaje ili uwaone πYanga kunani? Siwaoni humu watani.
Mpo kimyaaaaa π€£π€£
Watani, nasikia feisal anarudi jangwani π€£π€£π€£View attachment 2937981
WAZEE WA MABLICHI π€£π€£π€£π€£
Sawa mtaniJana
tulikuwa tunawapoteza maboya manlodi
Watani wangu hao π€£π€£ungependelea wafanyaje ili uwaone π