Yanga siyo Simba

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Timu ya yanga kimataifa siyo kama Simba.

Yanga kwenye uongozi wa leo wanaushamba fulani au ulimbukeni na wakiwa na akili hizo tutegemee anguko kwenye klabu.

Viongozi wa Yanga kimataifa hawawezi kabisa ila wanakiwango kizuri cha wachezaji lakini uongozi hovyo. Nawatahadharisha wasikilize wazee wa mikoani wawape ushauri.
 
DALILI NYINGINE YA UCHAWI NI KUISHABIKIA YANGA[emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ina maana Mhe. Rais Engineer sio kiongozi kwalite?
 
DALILI NYINGINE YA UCHAWI NI KUISHABIKIA YANGA[emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mjinga uchawi gani ushauri uchawi mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…