chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Utajinyea bureMwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ndio kanifanya hata mechi ya leo nisiangalie
Basi Nyie endeleeni kuvuta pumzi na yule kipa wenu pazia Ayubu..Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
chama konokonoMwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hukuwa na ulazima wala impact kuangalia mkuu. We subiri utaangalia keshoHuyu jamaa ndio kanifanya hata mechi ya leo nisiangalie
Timu ina uwiano wa goli tatu bila imekata pumzi, kweli wewe Mpira huujui unajiaibisha bure.Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Of course huwa sinaga mzuka na mechi mbovu.Hukuwa na ulazima wala impact kuangalia mkuu. We subiri utaangalia kesho
Hizi mechi za viwango na utaalaamu ungeziacha kwanza kwa sasa. Focus kwenye butua butua
unavuta bangi ya mbegumbegunau au ya majani?Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.
Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia kabumbu hapo kesho, soccer lilisha chezwa leo.Huyu jamaa ndio kanifanya hata mechi ya leo nisiangalie