Yanga tayari imekata Pumzi. Vipigo vipo Njiani

Yanga tayari imekata Pumzi. Vipigo vipo Njiani

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.

Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.

Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndiyo mtajua hamjui.

Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
utopolo ni kama Baiskeli ya mbao
utopolo-nyuma-daima.jpg
 
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.

Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.

Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums1963208479.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu iliyokata pumzi tokea msimu umeanza karuhusu goli moja tu.

Timu iliyokata pumzi wapinzani wanaomba mpira uishe.

Timu iliyokata pumzi imefuzu hatua ya makundi.

Timu iliyokata pumzi inaongoza ligi.

Sasa tuje kwenye timu ambayo haijakata pumzi sasa:
Wana ukuta unaovuja kupita maelezo, yaani kwao clean sheet ni sherehe wakipata.

2) wanamtegemea CHAUMA awapambanie bila huyo hakuna kazi.

3) wanacheza mpira shikilia moyo dakika zote hata kukaa na mipira changamoto na mpira papatu papatu tu.

4) waliona kufunga magoli matano ni jambo jepesi wakacheza na timu pungufu kwanzia kipindi cha kwanza lakini wameshindwa kupata goli tano kwa timu iliyopungufu

Hongereni timu yenu kwa kujipata, wacha Yanga iliyokata pumzi iendelee kukata pumzi.

NB: Tunakumbusha tu kuwa hata misimu miwili nyuma hili neno la kukata pumzi ilitumika hivyo tumelizoea labda uanzishe jipya.
 
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.

Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.

Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Nyie endeleeni kuvuta pumzi na yule kipa wenu pazia Ayubu..
 
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.

Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.

Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Timu ina uwiano wa goli tatu bila imekata pumzi, kweli wewe Mpira huujui unajiaibisha bure.
 
Hukuwa na ulazima wala impact kuangalia mkuu. We subiri utaangalia kesho

Hizi mechi za viwango na utaalaamu ungeziacha kwanza kwa sasa. Focus kwenye butua butua
Of course huwa sinaga mzuka na mechi mbovu.

Lakini pamoja na hilo at least ningejitahidi.

Ila nilivyomuona huyo mwamba na pempasi stimu zikaisha.
 
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.

Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano ndio ntajua hamjui.

Hii yanga ya mwaka huu ni zaidi ya utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
unavuta bangi ya mbegumbegunau au ya majani?
 
Halafu kuna habari naziskia kuwa mchezaji wenu amekata mauno uwanjani
 
Back
Top Bottom