Yanga: Thamani ya Mayele ni bilioni 2.

Yanga: Thamani ya Mayele ni bilioni 2.

Si alikuja kwa mkopo??

Mbona hawa watu wanapenda drama za ajabuajabu?

Anyway..watajijua wenyewe.

Maana tukihoji watasema tunawafuatilia sana...kila mtu apambane na hali yake.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Baleke ndiyo yupo kwa mkopo, mayele watu walitoa hela,mwanzo wakimtaka lilepo,wakaona dau kubwa wakachukua mayele
 
Back
Top Bottom