usibishane na mazwazwa!Mchezaji yupi wa Simba alipewa kadi nyekundu ile jumamosi?
Nenda kalale unaongea pumba tuNina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Nyau fc mbona una hasra sana ? Hukumbuk ya coastal union,Dodoma jiji,AZAM hukumbuk magoli yote 2 yalkua off side?Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024
Acha ushamba wewe Kayoko ndiyo nani kwa Yanga? Yanga ni timu inayojiweza na ubora wake sasa kama wewe unahisi kama Yanga inabebwa endelea na akili zako za usiku wa mananekimataifa mechi na al hilal asipochezesha kayoko tutashinda kweli?