mechi na simba walipewa card nyekundu?Nina mashaka na timu yangu ya utopolo a.k.a nyuma mwiko a.k.a kayoko fc kwanini hatuwezi kushinda bila kadi nyekundu?
Mbona wenzetu simba wanashinda bila kadi nyekundu? Hivi kweli tunaweza kumfunga MC Alger au Al Hilal? Au Al Ahly au Esperance? Mi namchukia sana injinia wa mchongo Hersi kwa kuwahonga magoli kipa na marefarii.
Soma Pia: Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024