Yanga toeni mapato yenu kabisa hadharani

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Club ya yanga bingwa WA kupika takwimu tunaomba muweke mapato ya mechi ya Leo kabisa kabla mnyama hajatoka mwituni

Mana hamchelewi kusema Simba kajaza uwanja lakin tumempita kimapato.

Leo full house hamjaizungumzia kabisa.

Na mwaka huu litimu lenu halina mvuto hata robo ndio maana mkamleta S kide kuwaburudisha coz mshaona huu mwaka hamna chenu

Simba anangaza ubingwa ndani ya mechi Tano za kwanza.
 
kwa macho zaidi ya watu 40000 jana waliingia uwanjani km wote waingie kwa 10000 kama ilivyowekwa kima cha chini basi ni milioni 400+

simba kwa hakika hawawezi kuja na kima cha chini 10000,kwasababu mtani hakupata full house kwa kiingilio hicho lazma watakuja na kima cha chini 5000 ambayo tukichukulia full house wote waingie kwa pesa hiyo means watapa milioni 300+
 

Hao Yanga watakuja kukutukana mbaya mbovu kabisa!
Naona wapo waliokwisha anza tayari!!
 

Mimi nilikuwa uwanjani pale, kwa kazi zangu binafsi! Watu zaidi 15000 waliingia bure!
Walifungulia dog mageti yote baada ya kuona tiketi hazinunuliwi, na ndani majukwaa ni meupe, kuna muda waligawa tiketi za bure lakini waap!!
Hawawezi kuwa walipata hiyo million 400+
Ukisema 250m naweza kukubaliana na wewe!!
 
Ulikua unawahesabu wewe bibi? eti kazi binafisi wewe sema ulienda kuangalia mechi nani ya nini kujificha
 
Ulikua unawahesabu wewe bibi? eti kazi binafisi wewe sema ulienda kuangalia mechi nani ya nini kujificha

Sasa unanibishia mimi? Mimi kama ni kwenda kuangalia mechi siwezi jificha dogo!
Me huwa nina shughuli zangu binafsi nafanyia maeneo hayo, hata leo muda si mrefu nitakuwa pale!
Ukitaka kuamini unaweza njoo mida kuanzia saa9 leo hadi saa moja jioni, nitafute! Nitaenda kukununulia bia pale Gwambina lounge ama popote utakapochagua na nauli ya kurudi kwenu nitakupa dogo!!
 
Akija mle kabisa utampaje bia bure
 
Kwani wakipata pesa kidogo wewe unapata hasara ipi upande wako? Tujikite kwenye vitu productive zaidi kuliko visivyo na mzingi wowote
 
Kwani wakipata pesa kidogo wewe unapata hasara ipi upande wako? Tujikite kwenye vitu productive zaidi kuliko visivyo na mzingi wowote

Wewe unaona hamna shida siyo?
Kuona ni sawa mashabiki kuingia nusu huo ni uzwazwa na upumbavu!
Kama hamna hasara ni kwa nini waligawa tiketi za bure na baadae kufungulia watu wakaingia kama mbwa?
Inapaswa viongozi waelewe matamasha kama hayo si sehemu ya kujiingizia kipato kikubwa bali iwe sehemu ya kuwakutanisha mashabiki nakupata burudani, mlidhani kwa hicho kiingilio cha chini cha 10k hata wasipofika nusu mtatengeza pesa ndefu, matokeo yake hata hiyo nusu ya walionunua tiketi hawakutimia!
Ikawa fungulia dog, huo ni uzwazwa!
 
Endelea kununuliwa bia, kwa hio uliacha kazi zako ukaenda kuangalia watu wanaingia bure mageti yote ukazunguka ukawa unaehesabu wanao ingia bure mpka 1500
 
maandishi yako yana sadifu Una maisha magumu sana
 
Endelea kununuliwa bia, kwa hio uliacha kazi zako ukaenda kuangalia watu wanaingia bure mageti yote ukazunguka ukawa unaehesabu wanao ingia bure mpka 1500

Mimi siyo wa kununulia bia dogo!
Nimekupa mchongo ukuje hapa mitaa ya uwanja wa Mkapa nitakupa bia tani yako ama kilaji kingine chochote hadi utakapotosheka na nauli ya kurudi kwenu nitakupa!
Kuhusu kuacha kazi zangu haikuhusu, hilo ni suala langu binafsi!
Hiyo idadi uliyotaja mbona si ile niliyosema dogo?
Mimi nimesema 15000 na si 1500.
 
Okey…!! Good nimekualika njoo ushuhudie sasa hayo maisha magumu niliyo nayo!!!
Location nimekupa, unakwepa nini?
Nyie wavulana unadhani kila mtu anaishi Dar sisi wengine tupo maporini ili dada zenu waishi vizuri
 
Mtu mwenye kazi hawezi acha kazi yake akahangaike na watu wewe njoo huku Congo tupambane upate buku buku huo umbea uta acha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…