Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Nyie wavulana unadhani kila mtu anaishi Dar sisi wengine tupo maporini ili dada zenu waishi vizuri
Hizo za kusema “wavulana” ni njia dhaifu za kujihami!!
Kumbe unaandika hapa kwa kutumia “akili” za kipori pori, ndio maana naona umezubaa zubaa sana!
Pole mkuu…!!!
Siku ukitoka huko porini basi nitafute nikutoe ushamba nikupeleke mjini!!