Nyie wavulana unadhani kila mtu anaishi Dar sisi wengine tupo maporini ili dada zenu waishi vizuri
Ni kazi yenu kuliwa hapo avic town wazee wa fungulia mbwaSababu wewe unaliwa basi unajua wote ni kama wewe
Mtu mwenye kazi hawezi acha kazi yake akahangaike na watu wewe njoo huku Congo tupambane upate buku buku huo umbea uta acha
Lengo la Simba kwenye siku yake ni kujaza watu si kwa lengo la mapato Bali kwa lengo la kuhakikisha wapenzi wake wanajaa kuja kuburudika ...Yanga mlikuwa mnafanya siku yenu kwa lengo la kuchangisha pesi ili mlipo viporo vya pesa za usajili...kwa macho zaidi ya watu 40000 jana waliingia uwanjani km wote waingie kwa 10000 kama ilivyowekwa kima cha chini basi ni milioni 400+
simba kwa hakika hawawezi kuja na kima cha chini 10000,kwasababu mtani hakupata full house kwa kiingilio hicho lazma watakuja na kima cha chini 5000 ambayo tukichukulia full house wote waingie kwa pesa hiyo means watapa milioni 300+
Yuko congo ya kariakoo mshamba sna huyo mtotoMimi hizo buku buku si size yangu, dogo!
Nilishatoka huko kitambo sana, umesema sijui nina shida sijui maisha magumu, nimekuambia tuonane unakwepa kijanja eti upo Congo!!!
Wewe fanya mchakato hata ukitoka huko uliko nicheki ulete mrejesho hapa jukwaani kati ya mimi na wewe ni nani wakumpa mwingine ujanja wa kupata pesa!
Ikibidi tunaweka na shahidi kabisa yeye aje atoe ushuhuda hapa!!
Yuko congo ya kariakoo mshamba sna huyo mtoto
Umemaliza Kama ajaelewa atakuwa na mtindio wa ubongokwa macho zaidi ya watu 40000 jana waliingia uwanjani km wote waingie kwa 10000 kama ilivyowekwa kima cha chini basi ni milioni 400+
simba kwa hakika hawawezi kuja na kima cha chini 10000,kwasababu mtani hakupata full house kwa kiingilio hicho lazma watakuja na kima cha chini 5000 ambayo tukichukulia full house wote waingie kwa pesa hiyo means watapa milioni 300+
Wanaotoa takwimi ni N CARD na sio mambo ya kubashiri kama mganga wa kienyeji, wasubilie wao watasema yanga kaingiza shingapi ndio utoe conclusion!Mimi nilikuwa uwanjani pale, kwa kazi zangu binafsi! Watu zaidi 15000 waliingia bure!
Walifungulia dog mageti yote baada ya kuona tiketi hazinunuliwi, na ndani majukwaa ni meupe, kuna muda waligawa tiketi za bure lakini waap!!
Hawawezi kuwa walipata hiyo million 400+
Ukisema 250m naweza kukubaliana na wewe!!
Acha nikae na akili zangu za porini kuliko kwenda kuangalia watu wanaingia bure uwanjaniHizo za kusema “wavulana” ni njia dhaifu za kujihami!!
Kumbe unaandika hapa kwa kutumia “akili” za kipori pori, ndio maana naona umezubaa zubaa sana!
Pole mkuu…!!!
Siku ukitoka huko porini basi nitafute nikutoe ushamba nikupeleke mjini!!
Hizi tabia achaNi kazi yenu kuliwa hapo avic town wazee wa fungulia mbwa