Yanga tuache pressure, turudi tujenge timu

Turudi kulaumu marefa na tff
 
Mnahitaji ujenzi gani mbona mnao wachezaji wa kimataifa
 
Muhimu tusisikie mchezaji kuuzwa, au kusitishiwa mkataba bila sababu za msingi. Mwalimu aendelee kuijenga timu.

Naamini tuna uwezo wa kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu, halafu mwakani tunarudi tena Kimataifa.
Hats nchimbi
 
Wewe tulia, Yanga tuna kikosi bora sana msimu huu. GSM wamefanya usajili mzuri, shida kubwa timu haikuwa na pre season nzuri na hivyo chemistry ya timu haijapatikana bado. pia kumbuka kuna wachezaji kama 3 ambao hatukuweza kuwatumia. Wasiwasi wangu kwa Yanga kwa sasa ni kocha na si wachezaji.
 
Hilo ndio la kufanya
Muda umekua finyu kikosi hakijakaa pamoja kabisa
 
Yanga mna jitanabaisha kuwa ni mabingwa wa kihistoria.
Sasa wakati huu mnatafuta nini ?

Nyie si mabingwa wa zamani na mmeridhika hivyo..!

Au ndo Manara kawaambia mreturn ?

The return of formal champions ?
 
Unawalaumu bureee Viongozi wenu,wao wamewekeza Saba kwenye iDaRa ya Propaganda dhidi ya [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881],na siyo kwenye soka.
 
Ubora wa kikosi hudhihirika kwa matokeo uwanjani ndugu na sio maneno na visingizio kibao. Mi nakwambia ukweli kabisa hao Rivers United hawakuwa saizi ya Yanga kabisa ambayo ipo kwenye ubora wake. Hao tulikuwa tunauwa kabisa kwa bao nyingi sana ila shauri ya huu ujinga ujinga tumekuwa vibonde na sisi mashabiki badala tuseme kweli tunakubaliana na propaganda tunazoaminishwa.
 
Wewe ni mikia,
Kunatofauti gani ya wachezaji was simba na yanga?
Umekaa kishabiki

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kipumbavu sana.
Timu ikifanya usajiri mpya ili timu ifanye vizuri wachezaji lazima wakae pamoja muda mrefu,waweze kujuana kiuchezaji.

Ubora wa simba unatokana na hilo, siyo kwamba mna wachezaji wazuri kuliko yanga au azam.

Nataka nikuambie Wewe mikia, wacheji walikuwa bora kuliko wengine ni wale walioondoka,chama na miquison. Waliobaki ni wa kawaida tu ila wamezoeana kiuchezaji

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hats nchimbi
Dah! Nchimbi ni mchezaji bora kwa timu ndogo kama Mbeya City, Njombe Mji, Mwadui, na Polisi Tanzania. Ukimpeleka Azam au Yanga, anaishia tu kupuyanga uwanjani.

Binafsi ameniangusha sana. Maana mimi ni mmoja wa mashabiki wake wachache.
 
Nina imani na Yanga ya mwaka huu. Naomba ibakie hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…