Kwa ninavyoyajua Maisha ya Kitajiri yaliyoko pale Luanda Angola bila kusahau zile Bata za pale nilijua fika Mji wa Dar na Tanzania pangemshinda.Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Sisi kama mikia tunasikitiswa na kufungwa na platinum.Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Mnataka mjue ili iwe Nini....huyo Carlinos anawahusu Nini?...Mugala, Bwalya na sijui Fraga au Frog wako wapi?!Hapo ungewauliza kwa nini Morrison hachezi, wangetiririka kila mmoja na neno lake, lakini kwa kumuulizia Carlinhos usitegemee kupewa jibu