Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

Kwenye udhaifu tukiri tu wazi. Yaani utadhani wanaongoza goli tatu au nne!! Uko nyumbani unashindwa kumforce adui afanye makosa ndani ya eneo lake? Alafu tunajidai kuwa tuna team ya ushindani kimataifa bagooshaaa..
Haya shuguri ipo huko Tunisia sasa, sijui nasi tutaenda na mfumo wa kulinda goli au kushambulia kama nyumbani tumeshindwa!!
 
Lakini tujivunie kuwa unbeaten.
 
Lakini tujivunie kuwa unbeaten.
Unabeaten ya bongo haina faida yeyote kulinganisha na michuano ya klabu bingwa. Kwanza ni kupata mapato, pili ni kukuza brand ya timu Africa, na tatu kutengeneza mazingira ya kuogopwa. Kwa sisi mashabiki wa Yanga tunawaona Simba kama vile wenzetu lakini timu zingine zote za Africa zinaposikia timu ya Simba lazima waingiwe na hofu kutokana na muendelezo mzuri wa kimafanikio. Hili jambo ni zuri sana la kujivunia hata kama ujachukua kombe lakini unaona umebakiza hatua kidogo za kupiga ili ucheze fainali kisha ufikirie namna ya kubeba kombe. Simba wametuacha mbali mno

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Unabeaten ya bongo haina faida yeyote kulinganisha na michuano ya klabu bingwa. Kwanza ni kupata mapato, pili ni kukuza brand ya timu Africa, na tatu kutengeneza mazingira ya kuogopwa. Kwa sisi mashabiki wa Yanga tunawaona Simba kama vile wenzetu lakini timu zingine zote za Africa zinaposikia timu ya Simba lazima waingiwe na hofu kutokana na muendelezo mzuri wa kimafanikio. Hili jambo sana la kujivunia hata kama ujachukua kombe lakini unaona umebakiza hatua kidogo za kupiga ili ucheze fainali kisha ufikirie namna ya kubeba kombe. Simba wametuacha mbali mno

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mashabiki wenzetu watakubishia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16674032948482911.jpg
 
Lakini tujivunie kuwa unbeaten.
What does that add in the running competitions? Ok We're unbeaten team with some allegations za kuhonga mechi?! Tuoneshe u unbeaten wetu kimataifa huko tujulikane na club ipande thamani kimasoko na kupata wawekezaji wakimataifa..
 
Poleni sana Watani. Mpira si kama siasa. Achaneni na propaganda Uchwara. Haziwasaidii na hazitakuja kuwasaidia!
 
Punguza makasiriko unataka upate vyotevyote, chagua kimoja na yanga imechagua unbeaten na simba imechagua iishie makundi kimataifa.

Ridhika na hicho kidogo ulichopata kwanza ndo usuke mipango ya kwenda juuu.

Yanga papara nyingi.
Utopwinyo hamna kitu hapo....pole yao
 
What does that add in the running competitions? Ok We're unbeaten team with some allegations za kuhonga mechi?! Tuoneshe u unbeaten wetu kimataifa huko tujulikane na club ipande thamani kimasoko na kupata wawekezaji wakimataifa..
Sisi hatutaki umaarufu Afrika.Kumfunga Simba inatosha.
 
Back
Top Bottom