spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Huyo kaandika masihara, Msome kwa umakini utamuelewa.kumbuka haya mashindano yanahitaji ushindi na si kumiliki mpira
Lakini tujivunie kuwa unbeaten.Kwenye udhaifu tukiri tu wazi. Yaani utadhani wanaongoza goli tatu au nne!! Uko nyumbani unashindwa kumforce adui afanye makosa ndani ya eneo lake? Alafu tunajidai kuwa tuna team ya ushindani kimataifa bagooshaaa..
Haya shuguri ipo huko Tunisia sasa, sijui nasi tutaenda na mfumo wa kulinda goli au kushambulia kama nyumbani tumeshindwa!!
Unabeaten ya bongo haina faida yeyote kulinganisha na michuano ya klabu bingwa. Kwanza ni kupata mapato, pili ni kukuza brand ya timu Africa, na tatu kutengeneza mazingira ya kuogopwa. Kwa sisi mashabiki wa Yanga tunawaona Simba kama vile wenzetu lakini timu zingine zote za Africa zinaposikia timu ya Simba lazima waingiwe na hofu kutokana na muendelezo mzuri wa kimafanikio. Hili jambo ni zuri sana la kujivunia hata kama ujachukua kombe lakini unaona umebakiza hatua kidogo za kupiga ili ucheze fainali kisha ufikirie namna ya kubeba kombe. Simba wametuacha mbali mnoLakini tujivunie kuwa unbeaten.
Mnatuonea gere sisi akina unbeaten aka byutibyuti!πππUtayasikia mazuzu sis ni unbeaten
Mashabiki wenzetu watakubishia.Unabeaten ya bongo haina faida yeyote kulinganisha na michuano ya klabu bingwa. Kwanza ni kupata mapato, pili ni kukuza brand ya timu Africa, na tatu kutengeneza mazingira ya kuogopwa. Kwa sisi mashabiki wa Yanga tunawaona Simba kama vile wenzetu lakini timu zingine zote za Africa zinaposikia timu ya Simba lazima waingiwe na hofu kutokana na muendelezo mzuri wa kimafanikio. Hili jambo sana la kujivunia hata kama ujachukua kombe lakini unaona umebakiza hatua kidogo za kupiga ili ucheze fainali kisha ufikirie namna ya kubeba kombe. Simba wametuacha mbali mno
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nani tena huyu?π€π€π€π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2405194
What does that add in the running competitions? Ok We're unbeaten team with some allegations za kuhonga mechi?! Tuoneshe u unbeaten wetu kimataifa huko tujulikane na club ipande thamani kimasoko na kupata wawekezaji wakimataifa..Lakini tujivunie kuwa unbeaten.
Mtazame vizuri.Nani tena huyu?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kuifunga Simba.
Vimbeni hadi mpasuke kima nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2405194
Asa kwanini uzungumzie kuifunga Simba wakati mada imejikita kwenye michuano ya kimataifa?Kuifunga Simba.
Utopwinyo hamna kitu hapo....pole yaoPunguza makasiriko unataka upate vyotevyote, chagua kimoja na yanga imechagua unbeaten na simba imechagua iishie makundi kimataifa.
Ridhika na hicho kidogo ulichopata kwanza ndo usuke mipango ya kwenda juuu.
Yanga papara nyingi.
Sisi hatutaki umaarufu Afrika.Kumfunga Simba inatosha.What does that add in the running competitions? Ok We're unbeaten team with some allegations za kuhonga mechi?! Tuoneshe u unbeaten wetu kimataifa huko tujulikane na club ipande thamani kimasoko na kupata wawekezaji wakimataifa..