Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

Yanga hiyo hiyo unaoiponda inaongoza ligi na ni bingwa mtetezi
 
Yanga hiyo hiyo unaiponda inaongozwa ligi na bingwa mtetezi
Wewe unahisi kwanini timu uwezo wake uishie tu hapa hapa Tanzania? Hauoni kama tunadhihirisha kuwa kweli tunashinda kwa bahasha za marefa na wachezaji wa timu pinzani? Tulitakiwa tuwa prove wrong mashabiki wa Simba lakini meisho wa siku tumedhihirisha tuna timu ya ovyo kiasi gani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bahasha za marefa huku mpira ukiwa unaonyeshwa na azam tv Tanzania Kuna vituko sana
 
At
 
Hata mimi nimefwatilia sana Nabi na sasa nimejiridhisha hana mbinu mpya tena yaani kaishiwa.

Timu toka walipocheze na Al hilal
Mpaka leo huoni improvement yoyote yaani wanacheza tu ilimradi.

Kocha pia selection yake ya wachezaji ni mbovu na kuna baadhi ya wachezaji anaogopa kuwaweka bench japo wana viwango vibovu.


NB: Tusitegemee jipya kwa kocha Nabi.
 

Nilisha kuja na uzi wa prof nabi kuishiwa mbinu,nadhani majibu yenu mnajua mlinijibu nini,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…