Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League
Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki, hakika haikuwa rahisi
Nakumbuka tulivyosota kwa miaka 25 kufikia hatua hii, jana nilitokwa na machozi ya furaha kwa club yangu ya Yanga kufikia hii milestone