Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Tujipange na mikakati .....tuvuke makundi sasa....kweli tumefurahi sana .....Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League
Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki, hakika haikuwa rahisi
Nakumbuka tulivyosota kwa miaka 25 kufikia hatua hii, jana nilitokwa na machozi ya furaha kwa club yangu ya Yanga kufikia hii milestone
Kweli maandamano ni lazima,fikiria Mapumziko ya mwezi huu octoba 14 ya NYERERE DAY kumkumbuka Baba wa Taifa yalikuwa hayajaanza ndo Yanga tulicheza Makundi ya CAF Champions league Kwa mara ya mwishoWanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League
Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki, hakika haikuwa rahisi
Nakumbuka tulivyosota kwa miaka 25 kufikia hatua hii, jana nilitokwa na machozi ya furaha kwa club yangu ya Yanga kufikia hii milestone
yanga hakuna mjinga wa hivyoWanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League