fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ngoja raundi ya pili ndo kwanza imeanzaHivi zile mbio za Marathon ubunifu wa Senzo ni lini mkuu..? Mambo sijui kombe,sijui VPL sahau kabisa hamna kitu hapo,timu yenyewe iko wapi...!?
Huo ni uongo,hoja yangu ni uwezo wa wachezajiMsipokuwa makini mtadumbukia kwenye korongo mazima. Tumeweka mitego mikali kufuatilia mawasiliano yenu na marefa na timu ndogo
Kadi yako ya uanachama huko mikia ni namba ngapi?!Mimi ni yanga,lakini kwa kweli ni lazima tukubali kuwa simba timu yao ni bora kuliko yetu,sasa kocha,wachezaji na viongozi wetu wajihadhari sana,na waijenge timu kushambulia kwa options mbalimbali,vinginevyo ubingwa hatutaupata
Kadi yangu ni namba 357 ambayo niliipata mwaka 1995Kadi yako ya uanachama huko mikia ni namba ngapi?!