fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Mimi ni yanga lakini kwa kweli ni lazima tukubali kuwa Simba timu yao ni bora kuliko yetu. Sasa kocha, Wachezaji na viongozi wetu wajihadhari sana na waijenge timu kushambulia kwa options mbalimbali vinginevyo ubingwa hatutaupata.