Yanga tukitumia mbinu hizi Al Hilal tutawatoa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hawa Al Hilal watalazimisha droo sana, ndiyo watalazimisha kwa hiyo basi kuna uwezekano wa wao kucheza mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia. Na wakicheza mpira wa kuzuia kuna uwezekano wa wao kutufunga kwao.

Maana sisi tutakuwa tunazingatia kutafuta bao kwa hiyo basi itatuzalazimu kupanda kwa sana. Tukipanda watakuwa wanapiga conter attack za pembeni ambazo zitatusumbua sisi.

Ili kuwaweza inatakiwa tucheze mpira wa Levent Annet yaani namba 9 na namba 10 wacheze kama namba 11 na namba 7. Huku namba 7 na namba 11 wao wanacheza kama kama namba 10 na namba 9.

Huku namba 8 na namba 6 wacheze nyuma kama namba 5 na namba 4.

Huku namba 4 na namba 5 wao wanacheza kama namba 3 na namba 2.

Namba 2 na namba 3 wao wanacheza kama 6 na namba 8.

Kipindi timu itakapo kuwa inashambuliwa pale katikati kwetu kutakuwa hakuna mtu, yaani tuwape nafasi wakimiliki mpira katikati watakuwa wanapanda wengi na kuacha nyuma wachezaji wachache.
Na kipindi tukinyang'anya mpira ndiyo tuna piga conter attacking hiyo.

Hii ndiyo mbinu Simba wanatumia sana, ndiyo maana unaona wao hawamtegemei tu namba 9 kuwapa magoli.
 
Mkuu unawachanganya sasa, tangu hii week imeanza Una kazi ya kuandika nyuzi tu za maelekezo na ushauri sasa sijui wachukue ushauri upi na waache upi
 
Al Hilal watakuwa wanatafuta sare? Ule msako mliopigwa kwenu wakitaka kuwapasua unadhani kipi kitazuia wasifanye kule kwao?
 
Kweli Manara ALISEMA wazi.

Pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mzee Manara.

Haji sanday manara msemaji wa yanga.
Wengine wooote ni Mazuzu.


Huo mfumo sijawahi kuuona Duniani pooooooote.
1.Haiwezekanikiki.
2. Njoo na mfumo rafiki kwa wachezaji.
4-2-3-1. 4-4-2. Au 3-5-2-1 nk.

Umstuletea kitu ambacho hakipo Duniani
 
Al Hilal watakuwa wanatafuta sare? Ule msako mliopigwa kwenu wakitaka kuwapasua unadhani kipi kitazuia wasifanye kule kwao?
Mimi si shabiki wa yanga ila walipelekewa moto hadi nikaanza kuingiwa na roho ya imani, msako ulikuwa nyumba kwa nyumba aisee
 
Sasa hapo Al Hilal wenyewe wamekaa tu ? Hawajawasoma yaani hawana mipango wamekaa tu kuwasubiri ninyi mfanya na kupanga mipango yenu?
 
mtawachanganya mpaka mtajichanganya wenyewe
mara mayele kamfunga mdaka mishale
 
Wale kule wanafungika ila inatakiwa mipango kweli sio wawe wanapanda wote kama wanalima shamba la kijiji la Ushirika anabaki beki mmoja tutaokota mengi wale wahuni kipindi cha kwanza wakicheza na Timu yeyote wana kawaida ya kushambulia sana wakikukosa hicho kipindi cha pili wanacheza Counter attack tuu ila Babu kaju sure boy asipocheza sintaangalia mpira ni kwenda kulala tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…