kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hawa Al Hilal watalazimisha droo sana, ndiyo watalazimisha kwa hiyo basi kuna uwezekano wa wao kucheza mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia. Na wakicheza mpira wa kuzuia kuna uwezekano wa wao kutufunga kwao.
Maana sisi tutakuwa tunazingatia kutafuta bao kwa hiyo basi itatuzalazimu kupanda kwa sana. Tukipanda watakuwa wanapiga conter attack za pembeni ambazo zitatusumbua sisi.
Ili kuwaweza inatakiwa tucheze mpira wa Levent Annet yaani namba 9 na namba 10 wacheze kama namba 11 na namba 7. Huku namba 7 na namba 11 wao wanacheza kama kama namba 10 na namba 9.
Huku namba 8 na namba 6 wacheze nyuma kama namba 5 na namba 4.
Huku namba 4 na namba 5 wao wanacheza kama namba 3 na namba 2.
Namba 2 na namba 3 wao wanacheza kama 6 na namba 8.
Kipindi timu itakapo kuwa inashambuliwa pale katikati kwetu kutakuwa hakuna mtu, yaani tuwape nafasi wakimiliki mpira katikati watakuwa wanapanda wengi na kuacha nyuma wachezaji wachache.
Na kipindi tukinyang'anya mpira ndiyo tuna piga conter attacking hiyo.
Hii ndiyo mbinu Simba wanatumia sana, ndiyo maana unaona wao hawamtegemei tu namba 9 kuwapa magoli.