Fred Mwakitundu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 227
- 382
Rotation ya kikosi maybe.Hao Mbumbumbu fc waanze mapema kutupikia biriani ili itakapofika hiyo tarehe 7 Novemba, tujilie zetu kwa kujinafasi.
Ila yule Waziri Junior ana vigezo vya kumuweka Yacube benchi kweli! Au kwa sababu ya lile goli la kubahatisha uwanja wa Kirumba dhidi ya KMC!!!