Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Mwanaume unaandika kuwa UMELALWA? ushazoea nini kulalwa? Hata hivyo ni kawaida sana kwa Mashabiki wa utopolo kulalwa mara kwa mara..
Mwiko ukiwa nyuma daima unakua ushatengeneza njia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vioja kama hivi ndio napenda mtu kajimwaga tabia hadharani
 
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.
Una uhakika hao wachezaji wote wamesajiliwa ili wacheze ligi kuu?
 
Tatizo msemaji wao anawajaza washabiki wao ujinga kwamba Timu yao ni bora kabisa kwa sasa, kumbe bado wanajitafuta.

Na bahati yao wamekimbia kipigo cha mbwa koko !!
 
Achana nae shabiki wa Simba huyo.

Usikute hata kadi ya Yanga huna. Mimi ni shabiki na mwanachama wa Dar Yanga Africans na ni mwana CCM by birth sio registration

Lakini ukweli will set us free
 
Tatizo lenu ni mihemko mkiulizwa semeni kocha amefeli kwenye lipi hamtoi majibu. Mimi napenda kujadiliana na wanaojua mpira na wanaoweza kujibu hoja sio porojo kama zenu. Sasa kwanini swali dogo hilo mnashindwa kujibu kama kweli mpira mnaujua?
Twende kwa huyo Nabi, je hakuwahi kutolewa kwenye hii Mapinduzi?
Gamondi kwanini mnalazimisha aonekane mbaya kisa Mapinduzi kwanini hutaki kuangalia stats za ligi na klabu bingwa? Bogus ni wewe na wenzio mnaolalwa
 

Kwanini unadhan hapaswi kulaumiwa?
 
Nipo zangu bar naangalia mpira baada ya yanga kufunga nikawa busy na jf baada ya muda nimejisahau kama kuna mpira mara nasikia kelele watu wewewe wanapiga makofi nikainuka kuangalia screen nakuta wale jamaa wamerudisha gori
 
Kwanini unadhan hapaswi kulaumiwa?
Kwasababu sijaona kosa la kocha ni lipi, sasa nyie mnaosema kocha kafeli kwenye mbinu ndio muweke nondo za kiuchambuzi, alifanya kipi badala ya kufanya kipi. Lakini tokea thread ianze mpaka hapa hakuna yeyote aliyeongea mpira katika angle ya utaalamu, zaidi ya majungu na umbea na wengine wanaonesha wanaasili wa ushoga wazi wazi na kukiri kuwa kalalwa.
 

Unaelewa ulichokiandika? Si APR walicheza na Simba wakadraw. Sasa suala la APR kumfunga Simba limetokea wapi?
 

Ha ha Viber baana,asili ya ushoga ni ip

Wewe unaamini kuna kitu kinaitwa Ushoga duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…