mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kapoteza Hadi kumbukumbu🤓🤓Nakukumbusha Sisi tushacheza nao APR hatukupigwa 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapoteza Hadi kumbukumbu🤓🤓Nakukumbusha Sisi tushacheza nao APR hatukupigwa 3
Kwanini uamue wewe mashindano ya kumpima uwezo wa kocha? Kwanini hukuja na hoja ya ubora wa kocha kwenye mashindano ya klabu bingwa au ligi kuu? Kwanini hili Bonanza ndio likufanye upanue mdomo huku ukikazania kuwa wamekulala?
KATENI RUFAA FIFA SABABU IWE UWANJA ULIJAA SANA WATAZAMAJI[emoji3][emoji3]Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.
Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa ni tatizo. SSC angekula nyingi leo na hawa APR.
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.
Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo,? wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?
Tuache utoto na tuangalie kwa mapana, hata SSC hatotoboa Kesho.
Tusiwe kama mzee wa Objective alisema alikula tano kwa sababu kibu denga kaumia.
Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.
Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.
Nina mashaka na ubora wa kocha.
Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.
SSC tuliilala 5 sio kwa sababu sisi tulikuwa bora, ni kwasababu SSC ilikuwa ni mzoga upo upo unaosubiri kuoza.
Tuliangalie la kocha
Sasa kwanini unaleta ngonjera, elezea kiufundi na kimbinu kocha anachemka wapi sio unaleta tu tarabu. Ukishindwa kuelezea basi hujui mpira unaongea kama mcheza rede tu.Klabu bingwa kafanya nini Kocha? Unless kama mwenzetu unaiona nafasi ya kutoboa makundi
Umeandika Mengi tu...... Mimi nikiri niliyoyashika hapo ni neno Unalolitumia ' Tumelalwa' ... ! Hili neno Litakuwa Linawakera Wenzio
Cha pili... Hawa Wachezaji wafupi inawezekana ni moja ya Sababu... Unawauzi wenzio wanapenda kusikia Wachezaji wote ni Ma tall.
Cha tatu ...Wote Wamesajiliwa na Mshahara Wanapata hivyo hakuna kisingizio cha Yanga B wala Yanga C,wenzio wanataka kusikia ile ni Yanga 'B'
Acha bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana, icho kikosi kimecheza pamoja kwa muda Gani mpaka wawe na muunganiko kucheza kitimu? Kocha katumia wachezaji mchanganyiko wa U20 na wakaa benchi huo muunganiko ungetokea ndani ya mechi 3?Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.
Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa ni tatizo. SSC angekula nyingi leo na hawa APR.
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.
Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo,? wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?
Tuache utoto na tuangalie kwa mapana, hata SSC hatotoboa Kesho.
Tusiwe kama mzee wa Objective alisema alikula tano kwa sababu kibu denga kaumia.
Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.
Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.
Nina mashaka na ubora wa kocha.
Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.
SSC tuliilala 5 sio kwa sababu sisi tulikuwa bora, ni kwasababu SSC ilikuwa ni mzoga upo upo unaosubiri kuoza.
Tuliangalie la kocha
Sasa kwanini unaleta ngonjera, elezea kiufundi na kimbinu kocha anachemka wapi sio unaleta tu tarabu. Ukishindwa kuelezea basi hujui mpira unaongea kama mcheza rede tu.
Kuna zile 6 mlipigwa na Simba zenyewe zimefutika?Ha ha inaelekea leo wana SSC walikuwa wanasubiri kwa hamu sana.
Pamoja na yote mkuu haiondoi ukweli kuwa tuliwapiga Goli tano
Haifutiki hiyo
Achana na kibwengo uyo, anaropoka tu Kama amekatika kichwaHaya njoo utudadavulie ni namna gani wachezaji wa Yanga hushinda kwa uwezo wao bila msaada wa kocha.
Stats za Gamondi kwenye mashindano rasmi
Ligi kapoteza mechi moja tu kashinda mechi 10
Klabu bingwa kapoteza mechi moja kati ya mechi sita
Kwenye ligi ni timu ya pili kwenye msimamo ikiwa na mechi mbili mkononi na magoli ya kutosha.
Je kwenye mbinu wewe unaona Gamondi anafeli wapi?
Na je unaona afanyeje upsnde wa kimbinu?
Sio kwavile unajua kutype tu ukajifanya unajua mpira.
Umeniuliza kafanya nini kimataifaKlabu bingwa kafanya nini Kocha? Unless kama mwenzetu unaiona nafasi ya kutoboa makundi
Acha bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana, icho kikosi kimecheza pamoja kwa muda Gani mpaka wawe na muunganiko kucheza kitimu? Kocha katumia wachezaji mchanganyiko wa U20 na wakaa benchi huo muunganiko ungetokea ndani ya mechi 3?
Sijakulilia ila nimekuona mpumbavu na shoga, kila saa unapenda kulalwa tu.Sasa unanililia mimi tena?
Sasa unasemaje gamond Hana mbinu? Unaujua mpira wewe ama umeujulia ukubwaniIliyocheza ilikuwa ni Yanga Kamili, hakuna cha kikosi A wala B. Tuache umaandazi , Yanga tumefungwa na tumepambana tumeshindwa
Kwahiyo hapo ndio umejadili mbinu za kocha? Hivi wewe mzima kweli kichwani? Unaambiwa toa maelezo kimbinu na kiufundi kocha alitakiwa afanye nini. Unakuja kuongelea dakika. Wewe kweli ni zumbukukuKulikuwa hakuna sababu ya kuongeza dakika 9 , tuache ushabiki maandazi. Marefa walikuwa upande wetu
Sasa unasemaje gamond Hana mbinu? Unaujua mpira wewe ama umeujulia ukubwani