Yanga tulimalizwa na Makonda!

Yanga tulimalizwa na Makonda!

Ama mbinu za kummaliza Adui yako si kwenye vita pekee;hata Yanga Makonda alituua na kutumaliza kabisa hasa baada ya Mhe Diwani wa Mbagala na Jembe la Yanga (Manji)kubambikiwa kesi za hovyo kabisa kisa ni maendeleo ya Yanga!

Katika siku nimeumia ni leo!Huu ushindi wa Siasa ya mpira kwa hao Waarabu wepesi sisi tungejichukulia Jimbo kwa hata goli 10!

Lakini bwana kwa sababu alizozijua yeye Makonda aliamua kutuonea na kumuumiza ndg yetu na kutuharibia kabisa chama kubwa Y!

Anyway, ya Mungu mengi.Ipo siku sisi pia atatuhurumia na kuturejeshea Jimbo letu.

Viva Yanga!
KWELI KABISA,NITASHANGAA SANA MWANA YANGA ANAYEJIELEWA AKAMTII HUYU ZERO BRAIN HATA BABA YAKE KAHUSIKA PIA.
HIYO IWE CHACHU KWA WANA YANGA KUWANYIMA CCM KURA 2020

Lizaboni
MSAGA SUMU
FaizaFoxy
 
Mm yanga ila hz tabia za kulalamika kila cku sizipendi ata kidogo. Tuseme makonda alimbambakizia kesi manji vp MO aliyetekwa siku tisa? Emu tutafte ustaharabu mwingine tujenge timu yetu wenyewe sio kila siku kulialia.
 
Uturuki mlikuwa mnapelekwa kwa hela za ngada sasa hivi kadhibitiwa kaishiwa kabisa.
 
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua

Yanga Hii Ambayo Ilikuwa Inasomba Vifusi Mtaani Wakaenda Kuvirundika Kwenye Jengo Lao Eti Wanatengeneza Uwanja
Piteni Pale Muone Msitu
 
Mm yanga ila hz tabia za kulalamika kila cku sizipendi ata kidogo. Tuseme makonda alimbambakizia kesi manji vp MO aliyetekwa siku tisa? Emu tutafte ustaharabu mwingine tujenge timu yetu wenyewe sio kila siku kulialia.
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
 
Write your reply...ktk siku moyo wangu umefurahi bc leo zaidi' ni kweli kbs yanga bila kuharibiwa hii ya club bingwa ilikiwa tuwe cc yanga na hata mabadiriko yanga ilikuwa ya kwanza kwa mpango wa manji kasi aliyokuja nayo' lkn hawa wenzetu leo wana tukejeli na kujiona wao ndio wa kwanza kufanya mabadiriko wkt ni chabo tu toka kwa yanga: hata baadhi ya wachezaji walikuwa wamepwentiwa na yanga leo wanafurahi kuona tunatembeza bakuri ikiwa chanzo ni wao" inauma sana aisee""
 
Mm yanga ila hz tabia za kulalamika kila cku sizipendi ata kidogo. Tuseme makonda alimbambakizia kesi manji vp MO aliyetekwa siku tisa? Emu tutafte ustaharabu mwingine tujenge timu yetu wenyewe sio kila siku kulialia.

"kwa maneno haya ww sio mwanayanga' kutekwa hakuwezi fananishwa na kilichomtokea msababishaji wa kombe x3 hata kdg" lkn elewa kila mwenye kufiwa hulia kwa kushika kichwa chake"
 
Yani kufungwa wafungwe waarabu ila Kuna wa Tanzania wanateseka Sana yani kupita Hao walio fungwa

Sijuh ndio uchaw wanao uzungumzia watu ndio huu mana sijuagi Ata sielew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...ktk siku moyo wangu umefurahi bc leo zaidi' ni kweli kbs yanga bila kuharibiwa hii ya club bingwa ilikiwa tuwe cc yanga na hata mabadiriko yanga ilikuwa ya kwanza kwa mpango wa manji kasi aliyokuja nayo' lkn hawa wenzetu leo wana tukejeli na kujiona wao ndio wa kwanza kufanya mabadiriko wkt ni chabo tu toka kwa yanga: hata baadhi ya wachezaji walikuwa wamepwentiwa na yanga leo wanafurahi kuona tunatembeza bakuri ikiwa chanzo ni wao" inauma sana aisee""
Kilevi chochote kile unachotumia kwa sasa acha kimeharibu akili yako na uwezo wako wa kufikiria.
Hadi leo unafikiria kuiweka timu ya wananchi mikononi mwa mtu siku akifa na timu inakufa au unadhani Manji ataishi milele.
Pamoja na yote haya yanayopitia haujajifunza kitu hautaki kujifunza najua kuwa wewe mvivu lakini hata kwa mifano halisi hauwezi kutambua.
Tufanye kuwa ni kweli kuwa kesi za Manji ndio sababu ya kuyumba kwa Yanga na tumeyumba kweli, simuombei mabaya Mungu abariki uhai na kazi zake halali, ingekuwaje kama angetoweka kabisa au kwa namna yoyote angepoteza uwezi wa kufadhiri timu.
Wajinga kweli
 
Ama mbinu za kummaliza Adui yako si kwenye vita pekee;hata Yanga Makonda alituua na kutumaliza kabisa hasa baada ya Mhe Diwani wa Mbagala na Jembe la Yanga (Manji)kubambikiwa kesi za hovyo kabisa kisa ni maendeleo ya Yanga!

Katika siku nimeumia ni leo!Huu ushindi wa Siasa ya mpira kwa hao Waarabu wepesi sisi tungejichukulia Jimbo kwa hata goli 10!

Lakini bwana kwa sababu alizozijua yeye Makonda aliamua kutuonea na kumuumiza ndg yetu na kutuharibia kabisa chama kubwa Y!

Anyway, ya Mungu mengi.Ipo siku sisi pia atatuhurumia na kuturejeshea Jimbo letu.

Viva Yanga!
Wenzio wanakula kwanza kabla ya kuvuta, wee unavuta tu.
Usivute bila kula chochote, tanguliza hata andazi tu
 
Back
Top Bottom