Yanga tulimpa Mayele ukubwa fake

Yanga tulimpa Mayele ukubwa fake

Mnamponda baada ya kuondoka Yanga lakini Mayele ni striker haswa ambaye amesumbua kwenye ligi ya bongo hata kama ana magoli machache,aliwakuta Kagere kwenye prime yake lakini kagere akasahaulika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unalinganisha Kagere na Mayele
Acha ushabiki mkuu
Phri kaja tu kamkimbiza asingeumia angechukua kiatu na alikuwa simba hii mbovu
Mayele ni striker wa kawaida mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mashabiki wa Yanga tulimvika Mayele ukubwa ambao hakustahiki

Tulimwimba mno lakini me nilimwona ni mchezaji wa kawaida sana

Kuna strikers walikuja Tanzania wakafanya makubwa lakini hawakuimbwa

Tujikumbushe Tambwe, Kagere, Ngoma nk ambao kwa vipaji vyao Mayele asingeona ndani.

Walikuja wakakiwasha muda ukaisha na tukawasahau.

Yaani Mayele amekuwa top scorer ana mabao 13 wakati akina Kagere na Tambe walitupia 20+ wako kimya huyo mkongo ameanza taarabu.

Ameenda Egypt huko hatukuzwi inatakiwa apambane hawezi anakumbuka uku akiwafunga Mbeya City anatetema kama generator bovu anashangaliwa, sasa huko kuna mashabiki serious wanampuuza.

Wanayanga tumpuuze huyo jamaa ni mchezaji wa kawaida na huko Egypt anatoka tutamsikia yupo Tabora United

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli tuache roho mbaya. Mayele kafanya kazi kubwa Yanga, magoli 33 misimu miwili tena yaliyoipa ubingwa Yanga. Magoli sita hadi fainali ya shirikisho kwa nini tumbeze? Yule alikuwa mchezaji bora.
 
Magoli 33 msimu miwili mashindano yote
Ni mchezaji wa kawaida mno
Sasa tutamwona uko Egypt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Yanga damu Mayele alikuwa striker hatari. Ana almost kila kitu anachopaswa kuwa nacho striker.
 
Back
Top Bottom